Polepole unampoteza Zenda

Ungetaja basi jina la huyo mtu kama wewe hauko nyuma yake kutaka awe mwenyekiti... kazi mnayo.. kumbe mna drama hata awamu hii na amuogopi kabisaaa.. DUH!!!
Wakuogope ww unataka?
 
Ungetaja basi jina la huyo mtu kama wewe hauko nyuma yake kutaka awe mwenyekiti... kazi mnayo.. kumbe mna drama hata awamu hii na amuogopi kabisaaa.. DUH!!!
Na wewe mhenga mambo na michezo ya watoto unaingilia! Waachie wenyewe watoane ngeu. Au umesahau figusu za uvccm zilvyoondoka na maisha ya mdogo wako (R. I. P my best friend)?
 
Nani amekutuma wewe kwanini usitumie vikao vya chama aidha uvccm au vyovyote vile lakini viwe ni vikao vya chama kuzungumza madukuduku yako kama kweli unazo hoja za msingi na hukutumwa na mtu yoyote yule? Hii sio njia sahihi.
Hata Mwenyekiti wa CCM Taifa hakutumia njia sahihi kuwakaanga hadharani akina Sadifa majuzi. Kwa mantiki hiyo huyu yuko sahihi
 
hana nasaba zozote za uongozi
Nani mwenye nasaba za uongozi ndani ya ccm? Hakuna. Hapa naona harufu ya kupigania maslahi. Kama siyo maslahi yako wewe mwenyewe mleta mada basi unatumika kama toilet paper.
 
Na wewe mhenga mambo na michezo ya watoto unaingilia! Waachie wenyewe watoane ngeu. Au umesahau figusu za uvccm zilvyoondoka na maisha ya mdogo wako (R. I. P my best friend)?

Sifahamu unamuongelea nani aliyefariki hadi kumuita mdogo wangu. Kiaina nahisi unafikiri mimi ni Le Mutuz..
 
Hujitambui. Hapa JF ukiandika positive kuhusu CCM ni kama unamwaga kinyesi hadharani hapa zungumzia vyama vingine utaonekana GT. Aidha hizi ni siri za ndani zikae ndani tumia vikao kutatua hili suala au mtumie ujumbe Mwenyekiti JPM after all ashawanyaka wabaya! Hakuna haja ya kujichoreaha hapa JF
 
Tulieni mnyonyolewe vibaka wakubwa nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…