hawajaanza mkuu --- mtanzania na muda mbalimbaliHamna sauti!!
Hamna sauti!!
haisikiki
Tupeni codes
WameshafungiaNgoja nisubiri link hapa, nilikuwa sifahamu kama anazungumza...
kusema atasema lakini hakuna kitachobadilika mkuu -- ukweli ndo huuyoutube na facebook wamekata. waoga sana hawa, yaani kijana mmoja tu kama polepole anawashtua hadi nchi nzima wanakata youtube na facebook? dawa yake polepole record, halafu rusha recorded muda wowote wiki ijayo huko.