Polepole tunakupata mitaa Gani Facebook, YouTube,au insta?

Polepole tunakupata mitaa Gani Facebook, YouTube,au insta?

Kwa mtindo huu wa kukata mtandao ninaogopa hata uchaguzi utakuwa wa kihuni.
 
Nyerere akifufuka atacheka sana na Kusikita kwanini alipigania uhuru bora angeacha wakoloni weupe wabaki sasa tunawinda wenyewe kwa wenyewe kisa tu tumepishana hoja Nyerere alikua mpenzi sana Kuuza hoja tushidane kwa Hoja sasa imekua ni vita tunapigania Matumbo yetu
 
Lakini Nyerere ndio mwanzilishi wa haya matatizo yote mkuu, wenzake wanapita mulemule alipopita yy,Tena hawa wa sasaivi ina unafuu mkubwa kiliko kipindi chake
 
Lakini Nyerere ndio mwanzilishi wa haya matatizo yote mkuu, wenzake wanapita mulemule alipopita yy,Tena hawa wa sasaivi ina unafuu mkubwa kiliko kipindi chake
serikali ya ccm mzigo - mbunge bwege (sele bungala)

Polepole vitu anavyoongea leo, lawama tunawapa ccm Mama alivyoapishwa walipiga mgomo wa kufanya kazi
 
youtube na facebook wamekata. waoga sana hawa, yaani kijana mmoja tu kama polepole anawashtua hadi nchi nzima wanakata youtube na facebook? dawa yake polepole record, halafu rusha recorded muda wowote wiki ijayo huko.
Washa VPN mkuu unaishije bila.VPN
 
Network mbovu sana, youtube ina load na kukwama , mwenye link ipo vizuri..
 
Che Polepole tunakupata mitaa Gani Facebook, YouTube,au insta maana tuna ugwadu saa mbili ndiyo hiyo ishafika
Kwani Polepole anatarajia kumrarua yule mwanamke mzanzibari tena leo?
 
Back
Top Bottom