Polepole tumemsikia lakini sasa tuendelee na Uchaguzi.

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,729
Reaction score
5,637
Tusi-kwame hapa katika hili swala la electronic gangsters kama anavyosema Polepole.
Kwa ni maendeleo wakiyaona wananchi ndio wanaipigia kura CCM.
Nchi Iko katika mikono salama. Serikali inawajali wananchi.
Tuache kuzungumza maneno yanayoleta taharuki.
Hii ni New World Order. Uhuru wa raia unaweza kupungua kidogo. Uhuru wa Taifa unaweza kupungua kidogo.
Lakini haina maana kwamba tunarudi katika slavery.
Hakuna sababu ya kuleta panic katika nchi .
Twende katika Uchaguzi. Na ingekuwa vizuri kama restrictions ziongeondolewa kwa Chadema,wapewe ruzuku waingie katika Uchaguzi.
 
Umelipwa TSH. 7,000/= kuja kuandika haya.
 
Nchi haiko Salama watu wanatekwa wanauawa wanabambikiwa kesi za uongo wanaporwa luzuku na manyanyaso mengi ikiwemo kuzuia mikutano kwa njia haramu za kishetani, Tanzania ya sasa hakuna maendeleo pesa zote za maendeleo zinatumika kudidimiza demokrasia kuiba kura kugawana na mbowe Dalali wa kuuza watu toka chadema kwenda ccm ambayo inawasokomeza chauma ubwabwa chama mchepuko wa ccm kinachoigharimu ccm kwa mabilioni ya pesa , kwa kifupi tu ccm inatumia pesa nyingi kwa mambo ya hovyo kuliko maendeleo
 
Huyu familia yake inalipwa kodi za wananchi mpaka dawa ya meno tunamnunulia.
Pesa inayotumika kufanya mambo ya hovyo kwa sasa ni kubwa kuliko pesa inayoelekezwa kwenye maendeleo, ibilisi wa ccm hawana huruma na pesa za walipa kodi, hospital hazina Dawa, mshule hayana madawati vyoo walimu hawana nyumba za kuishi lakini wanachukua mabilioni kwenda kuwapa Chauma Ubwabwa wafanye Siasa za maji taka
 
ibilisi wa ccm wao kazi yao kuidhoofisha chadema tu kwa sasa hawataki kufanya maendeleo
 
Naunga mkono hoja
P
Pesa inayotumika kuidhoofisha chadema kwa sasa ni kubwa kuliko bajeti ya maendeleo na kama ccm wangekuwa wameziwekeza kwenye maendeleo mda huu wasingekuwa wanahaha kufanya uchakachuaji kupitia NIDA na kuwatesa chadema
 
KWA NAMNA POLEPOLE ANAVYOTUFUMBUA MAMBO KUHUSU MBINU ZA CCM KYIBA KURA,TINA SABABU YA KUKINUKISHA OKTOBA.BADALA YA OKTOBA TUNATIKI SASA NI OKTOBA TUNAKINUKISHA.
 
Paskal mayala yeye yupo na chauma ubwabwa ataandamana kweli?
 
Naunga mkono hoja. Ila Chadema hawajawa restricted, ni wamegoma wenyewe kusaini kanuni za uchaguzi, wakikubali hata kusaini, hata leo, Lissu kesho anaachiliwa anaingia ngomani , ngoma inogile!.
P
Inasikitisha sana unalijua jema ni lipi na baya ni lipi lakini unajitoa ufahamu. Mungu awashughurikie nyie
 
Sumu ya maendeleo ni ccm kukumbatia mambo ya hovyo kuliko maendeleo
 
Uendelee na uchaguzi gani, wakati Tanzania hakuna uchaguzi? Huo ushenzi wanaofanya washenzi wa CCM, ndiyo unauita uchaguxi? Lazima uwe huna aki kabisa kuamini kuna uchaguzi.
 
Tusi-kwame hapa katika hili swala la electronic gangsters kama anavyosema Polepole.
Kwa ni maendeleo wakiyaona wananchi ndio wanaipigia kura CCM.
Nchi Iko katika mikono salama. Serikali inawajali wananchi.
Tuache kuzungumza maneno yanayoleta taharuki.
Hii ni New World Order. Uhuru wa raia unaweza kupungua kidogo. Uhuru wa Taifa unaweza kupungua kidogo.
Lakini haina maana kwamba tunarudi katika slavery.
Hakuna sababu ya kuleta panic katika nchi .
Twende katika Uchaguzi. Na ingekuwa vizuri kama restrictions ziongeondolewa kwa Chadema,wapewe ruzuku waingie katika Uchaguzi.
Mleta mada ni taahira.
 
Bila chadema kuwepo kwenye ballot paper hakuna uchaguzi. HAUPO!

#NO REFORMS, NO ELECTION#
 
Tusi-kwame hapa katika hili swala la electronic gangsters kama anavyosema Polepole.
Kwa ni maendeleo wakiyaona wananchi ndio wanaipigia kura CCM.
Nchi Iko katika mikono salama. Serikali inawajali wananchi.
Tuache kuzungumza maneno yanayoleta taharuki.
Hii ni New World Order. Uhuru wa raia unaweza kupungua kidogo. Uhuru wa Taifa unaweza kupungua kidogo.
Lakini haina maana kwamba tunarudi katika slavery.
Hakuna sababu ya kuleta panic katika nchi .
Twende katika Uchaguzi. Na ingekuwa vizuri kama restrictions ziongeondolewa kwa Chadema,wapewe ruzuku waingie katika Uchaguzi.
Wewe mzee dingi wenu ndiye aliyetuachia huu msala aliona Katiba mbovu na hakuchukua hatua kuibadilisha kabla ya kung'atuka
 
Back
Top Bottom