Polepole tena ndani ya Star TV

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,694
149,920
Yuko Star Tv anaongelea suala la fedha za MCC.
Hivi katika watanzania wote huyu tu ndie anaejua mambo ya MCC kuliko watanzania wengine?

Waandishi,mmeshindwa kabisa hata kuwapata watu wa wizara ya fedha?
Kwanini kila wakati anaongea kama msemaje wa serikali juu ya swala hili?
Hivi sifa ya mtu kuitwa mchambuzi ni ipi hasa?

Waandishi mnatia aibu
 
Anadai kuwa marekani wanamwadhibu Magu kwa makosa ya JK
 
Alikimbia kule kwenye hoja. Mtu anaetaka aonekane yeye pekee ni mjuzi hupenda kukwepa mjadala shirikishi. Kwa kuwa hapo Star Tv wako BIASED, yaani wanataka awe peke yake au awe na watu wa mrengo wa Polepole. Kama ni maneno ya kupotosha kwa kuwa yuko peke yake studion, ni rahisi kufikiri anayoongea ni kweli tupu. Haishangazi alikimbia kule Channel 10
 
CCM wanamtumia ila siku zimebaki chache watamtukana. Mwambie awaombe msamaha kutumia madaraka vibaya akiwa mkurugenzi wa ile NGO maana kafanya .......kwa dada zetu
 
Polepole anatumika sana nashangaa hajapata reward yoyote mpaka sasa, CCM hawana huruma kabisa..
 
Yuko star tv anaongelea swala la fedha za MCC.

Hivi katika watanzania wote huyu tu ndie anaejua mambo ya MCC kuliko watanzania wengine?

Waandishi,mmeshindwa kabisa hata kuwapata watu wa wizara ya fedha?

Kwanini kila wakati anaongea kama msemaje wa serikali juu ya swala hili?

Hivi sifa ya mtu kuitwa mchambuzi ni ipi hasa?

Waandishi mnatia aibu!
Nafikiri sasa amekuwa mwandishi wa hiyo tv
 
Yuko Star tv anaongelea suala la fedha za MCC.
Hivi katika watanzania wote huyu tu ndie anaejua mambo ya MCC kuliko watanzania wengine?
Waandishi,mmeshindwa kabisa hata kuwapata watu wa wizara ya fedha?
Kwanini kila wakati anaongea kama msemaje wa serikali juu ya swala hili?
Hivi sifa ya mtu kuitwa mchambuzi ni ipi hasa?

Waandishi mnatia aibu!
Huyo anazunguka media zote kwa kuomba mwenyewe sio kuwa anaitwa. Kwanza has little knowledge to speak about. Sio multiskills kama anavyotaka kujionyesha. Mbona hazungumzii madeni ya wafanyakazi. Asubiri kupewa UDC atapoa mwenyewe.
 
NYIE MNATAPATAPA HAPA ILA HAMNA MTU ANAYEWEZA KUPANGUA HOJA ZA POLEPOLE
Kwa vile wew kakuzidi ndio maana unamjusudu. Hana hoja. Hana jipya la kushibisha akili. Ila wew upo chini hivi unamuona kama think tank hapo Lumumba
 
Sisi wenye akili tunamwelewa.. kama unadhani unaweza kuchambua maswala haya bends tukakusikize
 
Back
Top Bottom