Polepole sio mtu mwema ni muhuni sana

Anasema CUBA mtungi wa kilo 20 gas ni "ALUFUMBILI" tena uso mkavu haya kakosa....ukibisha utaskia "SASA UNABISHA URIKUWEEPOO...URIKUWEPO?" 😆
 
Hujui chochote, polepole kwa mara ya kwanza katika utumishi wa serikali aliteuliwa na mwanamtandao mwandamizi Mhe J. Kikwete.

Subiri atakujibu uanze kulialia.
 
Vipi tena braza keshakumegea Mkeo nini?
 
Mabeyo alicheza kama Pele mwaka 2021 baada ya kifo cha JPM. Kuna watu walidhani tayari wameshaifikia meza kuu lakini wakajikuta wakirudishwa nyuma.

Mwenye hekima iliyokomaa ni Balozi Bashiru Ally aliyeona mwenendo mzima kisiasa umebadilika akaamua kwenda na mdundo wa wakati husika.

Huyu Polepole anatunisha misuli akijidanganya, moyoni mwake atakuwa anamchukia sana Mabeyo kwa namna alivyohakikisha Samia anakuwa Rais wa awamu ya sita.
 
Ansbert,uko sahihi, sahihi kabisa. Lakini in the current political situation, kuna Simba mla watu yuko mlangoni. Kuna mtu anampiga asiumize watu, including na watoto wake, as long as anatetea Simba situumize, basi nitaunganaye naye kuokoa maisha yangu, regardless of the past history ya yeye kufuga Simba!
 
Alikuwa wenu hamkujua hilo...
Gawaneni vizuri ili wasiwe wanachoropoka.Kuna mwingine atachoropoka soon,
 
Alikuwa wenu hamkujua hilo...
Gawaneni vizuri ili wasiwe wanachoropoka.Kuna mwingine atachoropoka soon,
Hawa vijana walio pewa hii kazi ya uchawa hawana akili kabisa , sijui kwa nini hii kazi wasichague hata vijana wanaojielewa🤔
 
Waletewalete,ni mwendo wa kuandamana na IDs mpya.
 
Hivi huyu anayetoa shutuma kwa Polepole si kichaa kweli, anaonekana kabisa kuwa ana dalili za kuchanganikiwa, kwanini serikali ya mauaji isimkamate na kumpeleka Milembe wanamwacha tu anaidhalisha familia yake?
 
toa ushahidi kuwa siyo 2,000. siyo kelele
hata ukipewa bado utaukataa kwa sababu UNAPENDA KUSIKIA NA KUONA UNACHOKIPENDA HATA KAMA NI CHA HOVYO ...nb SIJAKULAZIMISHA "KUAMINI HAKUNA" KAMA ANAVYOKULAZIMISHA UAMINI "KUNA" bwana pole pole🫵🤝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…