Mtego upi hapo mjomba?
Kama Kiroboto wenu haombi radhi pambaneni na hali yenu wala tusijuane. Alitukosea sana huyo mtu wenu.
Chanjo kuwa lazima?
Hilo ni suala la kisayansi zaidi kuliko kisiasa. Kwani kwa maslahi yenu kisiasa mmewatoa wangapi kafara?
View attachment 2049591