Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 33,952
- 56,155
KabisaMtatajana wote, na bado
KabisaMtatajana wote, na bado
Vipi tabiri zake Nabii Wa Ishara Tanzania unazionaje?Ni kama kusema Mwaka huu Watazaliwa watoto wengi lakini pia wengi watakufa
Nabii wa Ishara....Hahaha
Duh, that was naiveIlitazamiwa watabadilika...! Kwa mujibu wa HP
Dikteta kagame na mu7 Bado wapoHuyo mzee anayekuwa anapeleka bahasha nilimjua kwa jina si vema kutaja alitumwa na nani ! I
Niliandika Twitter
Pitia 👇🏾
View attachment 3436089
Shirika la afya lenye dhamana ya kulinda uhai?who aliko janabi ndiyo waliomuondoa, who ni evil communist organization hata D.Trump ameiondoa USA, kulikuwa na tetesi (internationally siyo kibongo bongo) kwamba Magu alikuwa mbioni kuiondoa tanzagiza who, btw USA, Argentina na wengineo wameshajitoa who hata italia iko mbioni kujitoa …
uchaguzi wa 2020 ,,, ushindi wa kishindo cha wabunge wa ccm -- ni kazi ya mtandao au magu?Dkt Magufuli hakuwa anaagiza mauaji bosi, ni wana mtandao. Hata waandamizi wa tisi waliokuwa wazalendo walikufa wengi sana tena wengi mno, yaani wale tisi wote ambao hawakuwa kwenye payroll ya wana mtandao waliuawa. So huwezi sema eti Dkt Magufuli alikuwa anaagizia eti wauawe.
Kuna mmoja tena alitengenezewa zengwe auawe bahati nzuri Dkt Magufuli akapata taarifa akapona ila Dkt Magufuli walivyomuua tu huyo mtu akauawa sasa. Kwa ufupi Dkt Magufuli was an innocent na matokeo yake sasa tunayaona na tulisema toka enzi hizo Dkt Magufuli was not a killer.
Na hao wabaya wake walijitahidi sana tena sana kumchonganisha na makundi mbali mbali na yeye kibaya alikuwa mwepesi wa kutoa kauli za ukali kiasi kwamba wauaji wote walioenda kuua watu huku wakiwa wana mtandao waliua watu huku wakijifanya wametumwa na Dkt Magufuli (kama ilivyokuwa juzi wale wakenya kwa Dkt Samia, yaani wanapigwa huku wamshukuru Rais Dkt Samia).
Kwa ufupi mfumo wetu wa usalama upo vibaya kwa sababu kama mtu kama Mdude au Mzee Kibao achukuliwe na kwenda kuuawa hivi haki ipo wapi???
...Ina maana 'vyombo' vya usalama vilishindwa kuwashughulikia hao wauaji ?Hata waandamizi wa tisi waliokuwa wazalendo walikufa wengi sana tena wengi mno, yaani wale tisi wote ambao hawakuwa kwenye payroll ya wana mtandao waliuawa. So huwezi sema eti Dkt Magufuli alikuwa anaagizia eti wauawe.
alafu wanategemea movement ya polepole ilete mabadiliko -- kama hao wanamtandao wana uwezo huo , madaraka ni mpaka wachoke waoAliyewaua ni nani?...Ina maana 'vyombo' vya usalama vilishindwa kuwashughulikia hao wauaji ?
Je tope likichanganyikana na tope utajua tope lipi baya la kutoa??? Mfumo hauko vizuri inaonekana ni ngumu kujua...Ina maana 'vyombo' vya usalama vilishindwa kuwashughulikia hao wauaji ?
Upande wa wabunge fujo ila urais ilikuwa Magu mwenyeweuchaguzi wa 2020 ,,, ushindi wa kishindo cha wabunge wa ccm -- ni kazi ya mtandao au magu?
fujo ?Upande wa wabunge fujo ila urais ilikuwa Magu mwenyewe
Wewe haupo ? Mzee wa copy that …. Over , Affirmative. Roger thatMtatajana wote, na bado
Ni kama hujamsikiliza na kumwelewa vyema Polepole ktk presentations zake, au siyo..?Sasa ilishindikana vipi kumlinda JPM ikiwa walikuwa wana plot mchongo walikuwa wanafahamika??
Mlinganishe Kagame na rais wa Burkina Faso sio M7 au mtu mwigineDikteta kagame na mu7 Bado wapo
Kama nadharia yako ni sahihi, unadhani ana power ya kujinasua?Ni kama hujamsikiliza na kumwelewa vyema Polepole ktk presentations zake, au siyo..?
Anasema, yeye alipozipata taarifa kutoka kwa "informer" au "whistleblower" kuwa kuna mpango unasukwa namba moja kuuwawa, alimtaarifu mlengwa yaani Rais Magufuli by then....
Magufuli ni kama alipuuza na hivyo hakuchukua tahadhari wala hatua madhubuti za kuimarisha protocol ya ulinzi na usalama wake na badala yake akasema tumwachie Mungu...
Haina shaka kuwa mtekelezaji wa tendo la kuua alikuwa mtu wa karibu yake sana (inner cycle wake) anayejua kula na kulala kwake vyema kabisa...
Hakutambua kuwa Mungu yupo na anaishi ndani yetu na ametupa mamlaka na nguvu ya kuamuru kuzuia jambo fulani baya kutokea au kulifanya jambo fulani zuri litokee...
Jamaa wakaendelea na plotting yao hadi wakafanikiwa. The rest is history...
Leo haohao wanamlia timing ya kitaalamu huyu mama wakimpeleka taratibu kulekule alikoenda Magufuli lakini ktk mtindo au style unique kidogo...
Wamejiguleuza kama malaika walinzi wanaompenda na kumpigia mapambio ya kumtukuza na kumsifu lakini kumbe ni kama kuku adanganyavyo na punje za mahindi kumbe mfugaji anakuwa ana kisu cha kuchinjia mkononi mwake...
Shauri lake. Kaambiwa sana. Kapewa kila aina ya ishara lakini anaonekana ni kichwa ngumu, jeuri, kiburi lasitambue kuwa, anaisogelea mauti yake taratibu...!!
SureHuu ulimwengu una mambo mazito kweli kweli!
Unatisha mkuu, je nini mustakhabari wa CCM mwaka huu na huyu kibaka wa taifa JK atafika mwisho wa mwaka kweli?Huyo mzee anayekuwa anapeleka bahasha nilimjua kwa jina si vema kutaja alitumwa na nani ! I
Niliandika Twitter
Pitia 👇🏾
View attachment 3436089