Polepole ni "double agent" wa CCM mjihadhari nae

Kwa Tanzania sahau kuhusu kina Traole kwani jeshi lenu limejaa wanasiasa/makada wa chama ambao ni wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya,usalama wa taifa,nk
vipi huyu capitaine tesha, anatosha au kazuga tu?
 
Wewe unaona kaanika madudu na kakusaidia kwa akili yako lakini sisi wenye akili za kujiongeza na kufikiria tumeliona la yeye kutumika kuwalaghai watu kama nyie msiofikiri kwa kiwango cha juu
Shukrani T.O
 
Unatambua kuwa kuna watu wako gerezani miaka na miaka wanahama magereza tu kwa kazi maalumu?jiongezo acha mawazo mgando!!
 
Wengi watakutukana hapa ni kwasababu unacho kisema si matamanii yao kukisikia, ukweli ni kwamba wakijua historia ya uazishaji wa vyama vingi nchi hii wasinge pata shida.
Ule mpango wa Mwalimu na akina ALM acha kabisa. Ni wachache sana
 
Hakuna kitu kama hicho duniani, hizo ndiyo fikra potofu. Wengi hapo ni “useful” idiots.

Mtu kama Polepole ni genuine,
Mbowe ni umwamba - na egoism tu!

Simple as that
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…