HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,691
- 2,303
- Thread starter
-
- #21
Hakuna kitu kama hicho, acha ujinga wako
Wakae kimya kivipi sasa na wako kazini tatizo ni kutojitambua kwako na hutokaa ujitambueKwa hiyo kwa ushauri wako,wanasiasa wakae kimya tu kwa kua ni dabo ajenti,wasubiri tu hadi wafanyakazi na wakulima waibuke!!, 😂😂😄😭, ubarikiwe.
Kazini kivipi, fafanua tafadhaliWakae kimya kivipi sasa na wako kazini tatizo ni kutojitambua kwako na hutokaa ujitambue
Wewe ndiyo unavielewa vzr uliyeleta huu uzi,shit!Unavielewa vizuri vyama vya Wafanyakazi kweli?...
😂😂😂😂Wakulima mpaa watoke shambani wafike mjini leo
Ni kitu cha kutokufikiri tu mkulima ana nafasi kubwa sana ktk mageuzi yoyote kuliko mwanasiasa na mfanyakazi ndiyo maana mapinduzi ya kilimo yana nguvu tangu enzi na enzi.😂😂😂😂
Kuanzisha uzi siyo criteria ya uelewa wa mtoa uzi, jaribu kuwa open minded jifunze, ruhusu mawazo tofauti Ili kukuza uelewa wako.Wewe ndiyo unavielewa vzr uliyeleta huu uzi,shit!
Wewe ni moja ya mizigo humu nani apoteze muda wake kubeba mizigo isiyojitambua kama wewe?Kuanzisha uzi siyo criteria ya uelewa wa mtoa uzi, jaribu kuwa open minded jifunze, ruhusu mawazo tofauti Ili kukuza uelewa wako.
Sh*t na wewe mfyuuuu!!..
Deepest of the deep😂😂😂😂😀😀😀😀😀 great sinker
Samia hana huo mpango labda mamakoNa wewe unajiita great thinker?
Umewazaa weeee ukaja na hiyo conclusion?
Ok sawa
Tafuta chimbo ulambe asali tuu achana na hizi kelele uchwara utateseka sanaa
Mama atawale hadi 2035
Kibwengo tu weweSiyo wa kwanza kufanya kazi hiyo kuna kina Mtikila,Slaa, Mbowe, Sumaye, Mrema, Zitto, Lowasa, Kingunge, Rungwe, Lissu,nk.
Mapinduzi ya kweli kwa watanzania yatatoka kwa VYAMA VYA WAFANYAKAZI na WAKULIMA watakapochoka siyo kwa wanasiasa na viongozi wa dini kwani wao ndiyo wafanyabiashara na wanawanunua masikini na wasio na ajira
Safi sana kwa kumtambua.Na wewe unajiita great thinker?
Umewazaa weeee ukaja na hiyo conclusion?
Ok sawa
Tafuta chimbo ulambe asali tuu achana na hizi kelele uchwara utateseka sanaa
Mama atawale hadi 2035
🤔Siyo wa kwanza kufanya kazi hiyo kuna kina Mtikila,Slaa, Mbowe, Sumaye, Mrema, Zitto, Lowasa, Kingunge, Rungwe, Lissu,nk.
Mapinduzi ya kweli kwa watanzania yatatoka kwa VYAMA VYA WAFANYAKAZI na WAKULIMA watakapochoka siyo kwa wanasiasa na viongozi wa dini kwani wao ndiyo wafanyabiashara na wanawanunua masikini na wasio na ajira
Na wewe unajiita great thinker?
Umewazaa weeee ukaja na hiyo conclusion?
Ok sawa
Tafuta chimbo ulambe asali tuu achana na hizi kelele uchwara utateseka sanaa
Mama atawale hadi 203
Kwa Tanzania sahau kuhusu kina Traole kwani jeshi lenu limejaa wanasiasa/makada wa chama ambao ni wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya,usalama wa taifa,nkWatu wanataka akina traore nyie mnaleta hadithi za wafanyakazi na wakulima. Kina traore ndio chaguo jema kwa sasa, wale hawana mzaha na rasilimali za nchi
Uelewa wako ni mdogo sana jiongeze wakulima wakigoma kupeleka mazao yao mjini huko mjini wataishi je?wafanyakazi wakigoma kwenda kazini hiyo serikali itajiendeshaje?Wakulima mpaa watoke shambani wafike mjini leo
Haya wakinga mmeletewa picha lingine la kukamatwa polepole lipukeni tenaMpumbavu huyo anajipotray analamba asali huku mlamba matako.
Wewe unaona kaanika madudu na kakusaidia kwa akili yako lakini sisi wenye akili za kujiongeza na kufikiria tumeliona la yeye kutumika kuwalaghai watu kama nyie msiofikiri kwa kiwango cha juuDouble agent ukimaanisha nini mkuu?
Wote uliowataja hapo hakuna aliyediriki kuanika madudu kama Polepole.