Polepole: Nape ataadhibiwa na CCM kwa kauli ya kusema alikitoa chama shimoni uchaguzi wa 2015

Nappe kajipoteza mwenyewe japo alistahili heshima kubwa kwenye chama na hata nchini kwa ujumla kama angesiliza ushauli wa wengi alipaswa kukaa Kimya sio kutafuta kick za mitandaoni kama mtoto mdogo unaiga kuna kwa tembo
 
Ni kweli makada na wanachama wakawaida wa CCM walijitahidi kutumia ushawishi wao kuhakikisha CCM inatoka SHIMONI 2015.

Lakini hivyo VYUMA VINNE nivyovitaja hapo juu vilitumia nguvu ya ZIADA na na matokea ya hizo nguvu za ZIADA yalionekana, so sishangai kusikia Nape akiongea kwa kijigamba ya kwamba amekitoa chama SHIMONI.
 
Atafuatwa na kuzushiwa mambo mpaka wapate sababu za kumtoa katika hicho chama. Wana kiongozi anayetaka ukae kimya akikushughulikia, sasa ukianza kupayuka, anakutafutia adhabu kubwa zaidi.
 
Polepole kwa kipindi hiki kifupi cha miaka mitatu ataongea sana kwa sababu hakuna siasa za majukwani kama zilivyozuiliwa mpaka 2020.Siasa za majukwani zingekuwepo angeshachuja siku nyingi .Nape namshauri atulie 2020 sio mbali ndo watajua kazi aliyoifanya ktk chama
 
umeongea la maana sana...
.
Hivi na huyu polepole hawezi adhibiwa na chama kwa kauli yake hiyo...ya kwamba ...uchaguzi ukiwa huru na haki ccm haiwezi shinda.... maana naye alikikosea heshima chama hicho pendwa vijijini.
Ni hivi , ukishafika pale lumumba , kabla hujaingia ndani AKILI ZOTE UNAZIPUKUTISHA MLANGONI .
 
Ila tuache masihara, Nape na Kinana walikomaa sana kipindi kile CCM inakaribia kuzama. Walizunguka nchi nzima kutetea chama na kuwasema viongozi ndani ya CCM waliokua wabadhirifu, ukichanganya na goli la mkono nachelea kusema hawa watu wanahitaji heshima yako na sio kuonyeshwa bastola hadharani.
 
polepole njaa inamsumbua pia unafki eti leo hii anajifanya anauchungu na kuijua ccm kuliko nape, ila acha nape aonje joto la jiwe ni yeye huyu alishabikia tusione bunge live ili kuficha maovu ya chama chake!
 
Boss supadaudi Umemsahau yule aliyekuwa anatangaza matokeo yao kabla Tume ya Uchaguzi kutangaza matokeo (July Mwezi aka JM).

Ni kweli makada na wanachama wakawaida wa CCM walijitahidi kutumia ushawishi wao kuhakikisha CCM inatoka SHIMONI 2015.

Lakini hivyo VYUMA VINNE nivyovitaja hapo juu vilitumia nguvu ya ZIADA na na matokea ya hizo nguvu za ZIADA yalionekana, so sishangai kusikia Nape akiongea kwa kijigamba ya kwamba amekitoa chama SHIMONI.
 
Hapa ndipo tunapoquote tena ile kauli ya Bwn. Yesu

"Waache Wafu Wazikane"

Cc: BAK
 
Nappe kajipoteza mwenyewe japo alistahili heshima kubwa kwenye chama na hata nchini kwa ujumla kama angesiliza ushauli wa wengi alipaswa kukaa Kimya sio kutafuta kick za mitandaoni kama mtoto mdogo unaiga kuna kwa tembo
Kusimamia ukweli ndio kutafuta kiki kama mtoto?

Hebu tuambie alitafuta kiki lini, kwa vipi?
 
Maneno ya kwenye kanga hayo, hayo yalikuwa majukumu yao na walilipwa full time. Waache kelele hakuna aliye zaidi ya chama, mm na rafiki zangu tulimpigia kura Magufuri kutokana na kazi yake akiwa waziri....na sisi wote tulikuwa na kadi za CDM....kwahiyo kona zote za TZ walimpigia Magu kutokana na kazi zake nzuri akiwa waziri....mm najua Magufuri ndio amekitoa chama shimoni na wala si vuvuzela lingine lolote.... Magu jembe lililokuwa kamili wala halikuhitaji mapambizo ya mtu!!...ni kihere here chao na unafki tu!.
 
Tusifanye kazi kwa hofu kuofia kuondolewa kazi yako simama kwenye ukweli
Hakuna asiye fahamu kwamba Nape alikipigania chama na ukibisha MEZA BOGA.
 
“Amekitoa Chama cha Mapinduzi shimoni? Kwamba, wakati anakitoa chama shimoni wengine walikuwa wanafanya nini?” alihoji Polepole.
Walikuwa wanakunywa beer ............. Polepole anaulizwa swali ambalo jibu alishapatiwa!!?

Wamwajibishe tu tujue moja kuliko kuanza kupima upepo kwanza!!
 
Back
Top Bottom