Samia Amkosha, Mbowe JNHPP!
JNHPP ni mradi wa kihistoria na fahari ya Tanzania. Ni hatua kubwa itakayoongeza fursa za uzalishaji, uwekezaji na ajira kwa Watanzania.
“Ndoto imetimia,” Rais Samia amesema, akisisitiza umuhimu wa mradi huu katika kuchochea maendeleo ya Taifa.
Wananchi mbalimbali wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan kufuatia kukamilika kwa mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere Hydropower Project, mradi ni miongoni mwa miradi mikubwa zaidi ya miundombinu ya nishati nchini ikiwa na uwezo wa MW 2,115...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewakosoa wanaodai kuwa Mradi wa Kuzalisha Umeme wa Bwawa la Mwalimu Julius Nyerere (JNHPP) ni “white elephant” na kwamba hauna tija kwa Taifa, akisisitiza kuwa ujenzi wa njia kuu za kusafirisha umeme unaendelea kwa kasi kubwa...
POLEPOLE NA UONGO USIO NA USHAHIDI
Kuhusu swala la Polepole kusema kwamba kwenye mradi wa bwawa la JNHPP kuna ubadhilifu wa pesa, hilo ni uongo kwa sababu zifuatazo:
1. Mradi wa JNHPP ni mradi wa kimkakati ambao ulikuwa ndoto ya viongozi waliopita na huu ni mradi ambao umeenda kutatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.