Polepole na tuhuma za uongo dhidi ya mradi wa JNHPP

Egnecious

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2015
Posts
894
Reaction score
994
POLEPOLE NA UONGO USIO NA USHAHIDI

Kuhusu swala la Polepole kusema kwamba kwenye mradi wa bwawa la JNHPP kuna ubadhilifu wa pesa, hilo ni uongo kwa sababu zifuatazo:

1. Mradi wa JNHPP ni mradi wa kimkakati ambao ulikuwa ndoto ya viongozi waliopita na huu ni mradi ambao umeenda kutatua tatizo la umeme kwa Watanzania. Pia ni mradi ambao uliidhinishwa na Bunge/Serikali kwa ujumla.

2. Swala la ubadhilifu wa pesa ni la uongo kwa sababu kila pesa inayotoka kwenda kwenye mradi huwa ni lazima iidhinishwe na Bunge. Kama kutakuwa na ubadhilifu wa pesa, ripoti ya CAG ndiyo huwa inakuja kusema hayo. Je, ripoti ya CAG iliyaona hayo? Ikiwa haikuyaona, basi Polepole naye atakuwa miongoni mwa wapigaji hao anaowataja.

3. Wakati huo Polepole alikuwa ni Mwenezi wa Chama, nafasi ambayo ilimpa wajibu wa kuunga mkono na kusimamia utekelezaji wa miradi ya Serikali. Kama kweli aliona kuna tatizo, kwa nini hakulitolea maelezo akiwa ndani ya mfumo? Kwa nini asubiri leo aje na tuhuma zisizo na ushahidi?

Hapo ndipo inakuja hoja ya kusema kuwa Polepole amekuja kuichafua Serikali ya Awamu hii baada ya kuona hajatimiza majukumu yake ipasavyo na kutekwa na mabepari wa nje kwa kulipwa fedha nyingi.
 
Polepole tunae na tunatamba nae.
 
Kama huna cha kuandikia nyamaza kuliko kujizalilisha
 
Umewahi kuapishwa na marasi 3?

Umewahi kumwakilisha Rais kwenye inchi zaidi ya moja?

Umewahi kuwa msemaji mkubwa wa chama?

Umewahi kuwa mjumbe uliechaguliwa na Rais?

Kama hayo yote huna then kaa kimya tu uwezi kumjibu pole pole
 
nilivyomsikia ni kama alisema tunaenda kushitakiwa ili watu waibe hela, ngoja tusubiri kama ni ikweli kuna mashitaka yoyote yatakayofunguliwa dhidi ya serikali ...
 
POLEPOLE NA UONGO USIO NA USHAHIDI

Kuhusu swala la Polepole kusema kwamba kwenye mradi wa bwawa la JNHPP kuna ubadhilifu wa pesa, hilo ni uongo kwa sababu zifuatazo:

1. Mradi wa JNHPP ni mradi wa kimkakati ambao ulikuwa ndoto ya viongozi waliopita na huu ni mradi ambao umeenda kutatua tatizo la umeme kwa Watanzania. Pia ni mradi ambao uliidhinishwa na Bunge/Serikali kwa ujumla.

2. Swala la ubadhilifu wa pesa ni la uongo kwa sababu kila pesa inayotoka kwenda kwenye mradi huwa ni lazima iidhinishwe na Bunge. Kama kutakuwa na ubadhilifu wa pesa, ripoti ya CAG ndiyo huwa inakuja kusema hayo. Je, ripoti ya CAG iliyaona hayo? Ikiwa haikuyaona, basi Polepole naye atakuwa miongoni mwa wapigaji hao anaowataja.

3. Wakati huo Polepole alikuwa ni Mwenezi wa Chama, nafasi ambayo ilimpa wajibu wa kuunga mkono na kusimamia utekelezaji wa miradi ya Serikali. Kama kweli aliona kuna tatizo, kwa nini hakulitolea maelezo akiwa ndani ya mfumo? Kwa nini asubiri leo aje na tuhuma zisizo na ushahidi?

Hapo ndipo inakuja hoja ya kusema kuwa Polepole amekuja kuichafua Serikali ya Awamu hii baada ya kuona hajatimiza majukumu yake ipasavyo na kutekwa na mabepari wa nje kwa kulipwa fedha nyingi.

Kamsikilize tena Polepole kujiridhisha unajua kasema nini kabla ya kuja hapa na hili rojo.

Polepole kwa ushahidi huu, CCM acheni kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100. Jibuni hoja zake, haziepukiki, hizo ndizo za wananchi!

Kwani wenye lao jambo umewaona popote?
 
kwamba ubadhirifu wote unaonwa na kusemwa na CAG uko sawa

ameona mangapi na kayasemea na hakuna hatua yoyote imewahi chukuliwa
 
CAG alisema bwawa la umeme limezidishiwa malipo kwa zaidi ya trilioni moja.

Mpango wa awali ilikuwa arab contractor alipwe trilioni 6.6 ila uhalisia kalipwa zaidi ya trilioni 7.5

Sababu kuu ya kulipwa zaidi ni mkandarasi kudai labour cost zimeongezeka kati kati ya ujenzi. Na gharama za material ya ujenz zimeongezeka akiwa site
 
POLEPOLE NA UONGO USIO NA USHAHIDI

Kuhusu swala la Polepole kusema kwamba kwenye mradi wa bwawa la JNHPP kuna ubadhilifu wa pesa, hilo ni uongo kwa sababu zifuatazo:

1. Mradi wa JNHPP ni mradi wa kimkakati ambao ulikuwa ndoto ya viongozi waliopita na huu ni mradi ambao umeenda kutatua tatizo la umeme kwa Watanzania. Pia ni mradi ambao uliidhinishwa na Bunge/Serikali kwa ujumla.

2. Swala la ubadhilifu wa pesa ni la uongo kwa sababu kila pesa inayotoka kwenda kwenye mradi huwa ni lazima iidhinishwe na Bunge. Kama kutakuwa na ubadhilifu wa pesa, ripoti ya CAG ndiyo huwa inakuja kusema hayo. Je, ripoti ya CAG iliyaona hayo? Ikiwa haikuyaona, basi Polepole naye atakuwa miongoni mwa wapigaji hao anaowataja.

3. Wakati huo Polepole alikuwa ni Mwenezi wa Chama, nafasi ambayo ilimpa wajibu wa kuunga mkono na kusimamia utekelezaji wa miradi ya Serikali. Kama kweli aliona kuna tatizo, kwa nini hakulitolea maelezo akiwa ndani ya mfumo? Kwa nini asubiri leo aje na tuhuma zisizo na ushahidi?

Hapo ndipo inakuja hoja ya kusema kuwa Polepole amekuja kuichafua Serikali ya Awamu hii baada ya kuona hajatimiza majukumu yake ipasavyo na kutekwa na mabepari wa nje kwa kulipwa fedha nyingi.
wewe ni Kamwaga au umeenda Egyptian embassy tayari kuulizia bei? Selfie yako iko wapi?
 
polepole alikuwa na mpango mzuri nakumbuka ya diplomasia
Ya afya kati ya Cuba na tz,uletwaji wa madawa naona kuna zengwe lilikuwepo

inabidi siku aje azungumzie aeleze ugumu ulikuwa wapi

ova
 
POLEPOLE NA UONGO USIO NA USHAHIDI

Kuhusu swala la Polepole kusema kwamba kwenye mradi wa bwawa la JNHPP kuna ubadhilifu wa pesa, hilo ni uongo kwa sababu zifuatazo:

1. Mradi wa JNHPP ni mradi wa kimkakati ambao ulikuwa ndoto ya viongozi waliopita na huu ni mradi ambao umeenda kutatua tatizo la umeme kwa Watanzania. Pia ni mradi ambao uliidhinishwa na Bunge/Serikali kwa ujumla.

2. Swala la ubadhilifu wa pesa ni la uongo kwa sababu kila pesa inayotoka kwenda kwenye mradi huwa ni lazima iidhinishwe na Bunge. Kama kutakuwa na ubadhilifu wa pesa, ripoti ya CAG ndiyo huwa inakuja kusema hayo. Je, ripoti ya CAG iliyaona hayo? Ikiwa haikuyaona, basi Polepole naye atakuwa miongoni mwa wapigaji hao anaowataja.

3. Wakati huo Polepole alikuwa ni Mwenezi wa Chama, nafasi ambayo ilimpa wajibu wa kuunga mkono na kusimamia utekelezaji wa miradi ya Serikali. Kama kweli aliona kuna tatizo, kwa nini hakulitolea maelezo akiwa ndani ya mfumo? Kwa nini asubiri leo aje na tuhuma zisizo na ushahidi?

Hapo ndipo inakuja hoja ya kusema kuwa Polepole amekuja kuichafua Serikali ya Awamu hii baada ya kuona hajatimiza majukumu yake ipasavyo na kutekwa na mabepari wa nje kwa kulipwa fedha nyingi.
Wewe ndiye jinga kabisa. Unavyomuona Polepole Kuna elements za ubepari ndani yake? Huko kwa mafisiemu hakuna wa kujibu nondo zake sana sana kwa haya mnayoandika humu mkidhani mnamfubaza, ndio kwanza hoja zake zinaonekana kuwa ni za kweli 100%.

Wewe endelea kumbeza, lakini gari lilishashika Kasi na breki halina, ni kanyaga mafuta twende mbele, wahuni watafutane!
 
PPOLEPOLE NA UONGO USIO NA USHAHIDI

Polepole ni uongo San anatumia nafasi ya kutoka wenye nafasi yake ili kuifitinisha serikali na wanachii
 
75CDED7E-5254-4E89-869B-1CA97F3EA4EE.jpeg

Kuhusu swala la Polepole kusema kwamba kwenye mradi wa bwawa la JNHPP kuna ubadhilifu wa pesa, hilo ni uongo kwa sababu zifuatazo:

1.Mradi wa JNHPP ni mradi wa kimkakati ambao ulikuwa ndoto ya viongozi waliopita na huu ni mradi ambao umeenda kutatua tatizo la umeme kwa Watanzania. Pia ni mradi ambao uliidhinishwa na Bunge/Serikali kwa ujumla.
2.Swala la ubadhilifu wa pesa ni la uongo kwa sababu kila pesa inayotoka kwenda kwenye mradi huu ni lazima iidhinishwe na Bunge. Kama kutakuwa na ubadhilifu wa pesa, ripoti ya CAG ndiyo huwa inakuja kusema hayo. Je, ripoti ya CAG iliyona hayo? Ikiwa haikuyaona, basi Polepole naye atakuwa miongoni mwa wapigaji hao anao wataja.

3.Wakati huo Polepole alikuwa ni Mwenezi wa Chama, nafasi ambayo ilimpa wajibu wa kuunga mkono na kusimamia utekelezaji wa miradi ya Serikali. Kama kweli aliona kuna tatizo, kwa nini hakulitoa maelezo akiwa ndani ya mfumo? Kwa nini asubiri leo aje na tuhuma zisizo na ushahidi?

Hapo ndipo inakuja hoja ya kusema kuwa Polepole amekuja kuichafua Serikali ya Awamu hii baada ya kuona hajatimiza majukumu yake ipasavyo na kutekwa na mabepari wa nje kwa kulipwa fedha nyingi.
 
Wewe ndiye jinga kabisa. Unavyomuona Polepole Kuna elements za ubepari ndani yake? Huko kwa mafisiemu hakuna wa kujibu nondo zake sana sana kwa haya mnayoandika humu mkidhani mnamfubaza, ndio kwanza hoja zake zinaonekana kuwa ni za kweli 100%.

Wewe endelea kumbeza, lakini gari lilishashika Kasi na breki halina, ni kanyaga mafuta twende mbele, wahuni watafutane!
Hoja zipi zenye mashiko? Kuicjafua serikali no kitu kizuri. Tumia angalau sek. Kuchemsha Hilo bongo lako ufikilie vzuri
 
Back
Top Bottom