Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,886
- 5,623
Humphrey Polepole na Bashiru Ali hawa ni WanaCCM walioibuliwa na Hayati John Pombe Magufuli!!
Hawana historia yoyote ya kuwahi kuwa na mapenzi na CCM hapo kabla ya kuibuliwa na Magufuli!
Waonyeshe kadi zao walizipata lini na wapi kama siyo kadi za michongo.
Mtu aliyelelewa vizuri na CCM hawezi kuandika barua kama aliyoandika Polepole kwa Rais na Mwenyekiti wa CCM!
Polepole ni mmoja wa matunda ya kukurupuka ndani ya CCM ya kudhani kila uamuzi wa kumfanya yeyote kuwa mwana CCM ni sahihi!