Polepole na Bashiru hawakulelewa na CCM !

Polepole na Bashiru hawakulelewa na CCM !

Ila katika uongozi wao Polepole na Bashiru ndipo heshima iliyopotea ya CCM kwa Wananchi ilirudi.Na sasa waliolelewa na CCM wameizamisha tena CCM kurudi kuchukiwa na Wananchi tena!🤣🤣🤣
Heshima waliyoirejesha CCM hao kina polepole na Bashiru ni
kuanzisha biashara ya wanasiasa kwa kuunga juhudi.
Hao ndio waasisi wa kuteka na kuua.
Kwa hiyo kwako wewe ndio heshima waliyoirejesha CCM?
 
kama haujui, hao ndio walishauriana na magu hadi mama yako akawekwa hapo. usisahau fadhila zao.
Nyoooo!
Magu mwenyewe aliwekwa tu. Wakati Magu anawekwa Bashiru alikuwa mwanaCUF na hicho kislowslow kilikuwa kimwanaharakati tu cha Warioba. Wameanza kukutana na Magu tayari Mama ni Makamu na alipokufa Magu wakaandaa zengwe kumkataa
 
Ubongo ukijaa kamasi wa kulaumiwa ni mzazi, waalim au mfumo wa elimu wa nchi?
 
Nyoooo!
Magu mwenyewe aliwekwa tu. Wakati Magu anawekwa Bashiru alikuwa mwanaCUF na hicho kislowslow kilikuwa kimwanaharakati tu cha Warioba. Wameanza kukutana na Magu tayari Mama ni Makamu na alipokufa Magu wakaandaa zengwe kumkataa
Wakati haya yanatokea wewe ulikuwa wapi?
 
Tunaowajua hatushangai,

Pamoja na yote, hao wote wamelelewa na mfumo, na wako kwenye mfumo,

Binafsi naamini wanafanya kazi ya mfumo, otherwise wameota pembe,

Siamini hata 0% kwamba hao ni watu wamabadiliko.
 
Humphrey Polepole na Bashiru Ali hawa ni WanaCCM walioibuliwa na Hayati John Pombe Magufuli!!

Hawana historia yoyote ya kuwahi kuwa na mapenzi na CCM hapo kabla ya kuibuliwa na Magufuli!
Waonyeshe kadi zao walizipata lini na wapi kama siyo kadi za michongo.

Mtu aliyelelewa vizuri na CCM hawezi kuandika barua kama aliyoandika Polepole kwa Rais na Mwenyekiti wa CCM!

Polepole ni mmoja wa matunda ya kukurupuka ndani ya CCM ya kudhani kila uamuzi wa kumfanya yeyote kuwa mwana CCM ni sahihi!
Sawa ila ni wazalendo sana hilo linatosha..
 
Ushahidi please , mbona walio lelewa miaka mingi ndiyo wameifikisha nchi hapa ilipo na kuuza Mali za nchi yetu Kwa miaka mingi Kwa wageni , mm nadhani hapa siyo kuzaliwa au kutoka ukoo wa ccm hapa msingi je katika wakati wake aliweza kufanya nini Cha maana katika chama au kwenye ubaloz
Nadhani mantiki yake ndio iko hapo; kwamba waliolelewa na ccm huaga hawajali kabisa mambo ya nchi, wizi, ufisadi na kutokufata taratibu na katiba ndio mambo ya ccm; akitokea mtu mwenye anapenda ufataji wa utaratibu, lazima wamshangae
 
Back
Top Bottom