Polepole: Msingi wa chama chetu hakuna fomu moja

Polepole: Msingi wa chama chetu hakuna fomu moja

IS IT? SINA HABARI NA HIYO
2010 fomu ilikuwa moja Shibuda alitaka kuigusa akafukuzwa, 2020 fomu ilikuwa moja hakuna aliyejaribu kuigusa.
Mazoeq haya yameanza kuhamia Hadi kwenye ubunge 2020 kule kusini ilitolewa fomu moja tu na mwaka huu Kuna Jimbo mkoa wa Geita imetoka fomu moja tu.

Uchaguzi umeanza kuonekana kama Najisi kwa watawala.
 
Back
Top Bottom