MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,270
- 43,844
Huenda ikatimia
Kama kawaida muda unakwenda kasi sana imekua kama muujiza Humphrey Polepole kuanza kuparuana makucha na MICCM mienzake chanzo halisi kikiwa hakieleweki
Naiona harufu ya CCM kumtumia huyu bwana kama mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA 2025
Mavi akeKama kawaida muda unakwenda kasi sana imekua kama muujiza Humphrey Polepole kuanza kuparuana makucha na MICCM mienzake chanzo halisi kikiwa hakieleweki
Naiona harufu ya CCM kumtumia huyu bwana kama mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA 2025