masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,790
- 14,885
- Thread starter
-
- #21
Hizo ni kejeli!Yuko Mbeya. Kama tu mataputapu alivyo Dsm.
wote wanalindwa Na ulinzi mkali wa maaskari
Mkuu nineona post za huyo Bujibuji, na hakuna eneo Mbeya wenye jina hilo.Hizo ni kejeli!
Na nina wasi wasi kama aidha unatoka Mbeya au una uchungu na Mbeya.
Nahisi we mtu wa Mwanza.
Na ndio tatizo kubwa la Wstanzania wasioijua vizuri jiografia ya Mikoa ya Nyanda za juu Kusini.Mwandosya si alikuwa waziri toka mbeya, Mwakyembe naye si ametokea Mbeya, naibu spika pia si alitokea huko huko na yule aliyekuwa naibu waziri wa elimu ambaye hajui tofauti ya Zimbabwe na zanzibar pia si alitokea huko huko kama hao wote walikuwa jikoni na wameshindwa kuwafanya mpate maendeleo msitafute sababu hata aliyekuwa mkurugenzi usalama wa Taifa Apson pamoja na wakuu wa majeshi wawili wote wametokea huko huko Mboma na Mwamunyange mnahitaji upendeleo upi zaidi ya huo
malizia "kwenye majengo yaserikali!"Yuko Mbeya. Kama tu mataputapu alivyo Dsm.
wote wanalindwa Na ulinzi mkali wa maaskari
hilo jimbo hawex kushinda,hata angeshindana na mbuz kwa tiketi ya upinzan hawz shindaNaona dada Tulia anapiga jaramba jimbo liko wazi,hadi raha
Kosa la Mwandosya lilikuwa kugombea urais kwa tiketi ya CCM.Mwandosya si alikuwa waziri toka mbeya, Mwakyembe naye si ametokea Mbeya, naibu spika pia si alitokea huko huko na yule aliyekuwa naibu waziri wa elimu ambaye hajui tofauti ya Zimbabwe na zanzibar pia si alitokea huko huko kama hao wote walikuwa jikoni na wameshindwa kuwafanya mpate maendeleo msitafute sababu hata aliyekuwa mkurugenzi usalama wa Taifa Apson pamoja na wakuu wa majeshi wawili wote wametokea huko huko Mboma na Mwamunyange mnahitaji upendeleo upi zaidi ya huo
Kukujibu hilo, hebu watafute Jingalao, Mudawote,Mrangi, Return Of Undertaker, Paschal Mayala utapata jibu tuMwandosya si alikuwa waziri toka mbeya, Mwakyembe naye si ametokea Mbeya, naibu spika pia si alitokea huko huko na yule aliyekuwa naibu waziri wa elimu ambaye hajui tofauti ya Zimbabwe na zanzibar pia si alitokea huko huko kama hao wote walikuwa jikoni na wameshindwa kuwafanya mpate maendeleo msitafute sababu hata aliyekuwa mkurugenzi usalama wa Taifa Apson pamoja na wakuu wa majeshi wawili wote wametokea huko huko Mboma na Mwamunyange mnahitaji upendeleo upi zaidi ya huo
Vigumu sana hawa kujibu mada hii maana ina ukweli na si propaganda.Kukujibu hilo, hebu watafute Jingalao, Mudawote,Mrangi, Return Of Undertaker, Paschal Mayala utapata jibu tu
Mnalalamika nini?,si mna rais wenu sugu?,mwambieni awatatulie shida zenu akitoka jela.Kwako Katibu Mwenezi CCM Taifa, ndg Polepole.
Nimesikitishwa kama si kukerwa na kauli yako ya majuzi, ati kushindwa kwa CCM Mbeya ni kutokana na ukabila.
Sisi wana CCM tutokao Mbeya tumekereka sana na kauli hiyo kwani inakosa kukubali madudu makubwa yaliofanywa na CCM Taifa kwa mkoa wa Mbeya miaka kadha iliyopita.
Polepole , jiulize sasa kama ni ukabila, Sugu ambaye wala si Mnyakyusa, Msafwa, Mpangwa au Mkinga, anapata nguvu toka kabila gani?
Kuto analyse na kukubali makosa ni kama mbuni anayeficha kichwa shimoni huku kiwiliwili chake kiko nje na kuendelea kudhuriwa.
Cha msingi CCM Taifa iwe na political scientists, Sugu kawaunganisha VIJANA, kuprotest against in action ya CCM kimaendeleo mkoani Mbeya.
CCM isijitie kutoliona hili, na hii ni pamoja na Sugu kutokuwa na uwezo wowote kuleta maendeleo mkoani Mbeya.
Tukirudi nyuma , ni CCM Taifa iliyopandikiza mbegu ya ufarakano kati ya makundi ya mtandao wa JK huko miaka ya nyuma.
Vinara wa CCM wanaojulikana, wakasema na kusikika , wako wapi?
CCM Taifa devided, but they failed to rule!
Mbona Polepole kijana wa juzi hutaki kuwasikiliza hao wazee waliopigwa mikwara?
Tunakumbuka ugomvi wa kiti cha uNEC mkoa wa Mbeya?
Mpendwa wa wana Mbeya wote kupigwa vita ya waziwazi na CCM Taifa?
Mbaya zaidi kwa karibia miaka 20 mkoa wa Mbeya , CCM Taifa imewaletea miradi gani ya maendeleo?
Miaka 20 ni mingi, sasa kijana wa miaka 20~30 mkoani Mbeya anaielewaje CCM kama chama cha kuleta maendeleo na ajira au ni chama cha maneno matupu?
Vijana haohao wakienda Mwanza na kwingineko si wanaona jinsi CCM inavyowaletea wananchi maendeleo?
Na hata Rais wetu mpendwa Magufuli, alipokuwa waziri wa ujenzi, na sasa Rais, ni miradi ipi ya ujenzi kaleta Mbeya?
Barabara ya kuingia Mbeya mjini ni kero tupu!
Polepole tusitafute wa kulaumu, jilaumuni wenyewe.
Miaka ya nyuma CCM Mbeya was a staunch CCM base.
Mtaji huo mmeupoteza wenyewe.
Mkuu wewe utakuwa na akili sawa na Sugu , pamoja na wenziwe wa under 30.Mnalalamika nini?,si mna rais wenu sugu?,mwambieni awatatulie shida zenu akitoka jela.
Viongozi wa kitaifa wakija mbeya mkiongozwa na rais wenu Sugu huwa kwenye misafara yao mnawapiga mawe,mlipiga Mawe msafara wa Kikwete akiwa ziarani mkoani humo,Magufuli wakati wa kampeni mkarusha mawe,kuleni jeuri yenu,
Acha kumsakama ndugu yangu.Mkuu nineona post za huyo Bujibuji, na hakuna eneo Mbeya wenye jina hilo.
Huyo inaelekea ni wa Mwanza kweli kwa jina kamili kama Bujiku.
Anaongeza mafuta kwenye moto ili afaidike.
Sahihisha usemi ndugu yangu.Sugu ni Mkinga. Kitu kama hukijui au huna uhakika nacho ni vyema sana akakaa kimya. Hiyo ndio heshima. Kuropoka kunakufanya kuonekana poyoyo zuzumagic zwazwa mkuu
Safi mkuu. Tutajenga nchi kwa kuambiana ukweli...Vigumu sana hawa kujibu mada hii maana ina ukweli na si propaganda.
Ni kweli, Polepole anajua anafanya nini.kwahiyo anamaanisha Mbeya wakinga ni wengi ndiyo maana wamempa Sugu ubunge? naona anataka kupandikiza ukabila sehemu ambayo haupo.