Polepole: CHADEMA wanagawa rushwa Monduli


MAGACHA

MAGACHA

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Messages
1,037
Likes
1,701
Points
280
MAGACHA

MAGACHA

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2015
1,037 1,701 280
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kimesikitishwa sana na kitendo cha viongozi wa dini kufanya kampeni za kumnadi mgombea wa CHADEMA, tena kiongozi huyo akatoa lugha chafu dhidi ya mgombea wetu wa CCM.

Kauli hiyo imetolewa leo Jijini Dar es Salaam na Katibu mwenezi wa Chama hicho, Hamphrey Polepole wakati alipokua akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mwendendo wa kampeni kufutia uchaguzi wa marudio wa majimbo na kata .

Amesema kuwa, wao kama chama tawala hawawezi kutumia dini kwenye majukwaa yao maana tunaheshimu sheria inayokataza mambo hayo na chama chao si cha mlengo wa kidini

Aidha ameitaka Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wawamulike Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Monduli, kwani wanauthibitisho wa chama hicho kugawa rushwa ya chumvi nyumba kwa nyumba.

“Tunawaomba Takukuru wawaangalie Chadema jimbo la Monduli kwani wanatoa rushwa kwa kuwapa watu chunvi nyumba kwa nyumba na kwa bahati mbaya anayeongoza kugawa rushwa hii ni mgombea wao wa mwaka 2015″amesema Polepole

Amesema kuwa, Chadema wamepeleka watu kutoka sehemu mbalimbali nchini kwa ajili ya kuwatisha akina mama ili wasijitokeze kwenda kupiga kura, kwani wamegundua akina mama wameonekana wanaielewa CCM kwa sababu imewaletea mikopo nafuu.

“Chadema wamekua na njama nyingi dhidi ya CCM sasa hivi wameelekea upande wa akina mama kuhakikisha hawapigi kura, hawamchagui kiongozi wanaemtaka, hivyo tunavitaka vyombo vya dola kuthibiti hawa wahuni ” amesema Polepole.

Hata hivyo, amesema anamshauri Lowassa akalee wajukuu, hapendi kumuona anastaafu siasa kwa fedheha, sisi chama cha Mapinduzi tulikuwa tunamsubiri huyu Lowassa ampeleke mtoto wake Fred ili tumyooshe.

“Lowassa alikuwa amejimilikisha jimbo la Monduli, watu wa Monduli hawamilikiwi na mtu na tunakwenda kurudisha heshima ya Komredi Sokoine wilayani Monduli ” amesema Polepole.
 
prs

prs

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2013
Messages
1,993
Likes
1,198
Points
280
prs

prs

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2013
1,993 1,198 280
Asee yani kuna watu wanaweza kusahau Juhudi za Mh.Jiwe kwa ajili ya rushwa ya Chumvi!!!! 😂
Siku wakigawa Mchele CCM na Jiwe mtapata Kura za Familia zenu tu.
Pole pole acha kulialia, Chapa kazi haha...
 
sosoliso

sosoliso

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Messages
8,018
Likes
3,175
Points
280
sosoliso

sosoliso

JF-Expert Member
Joined May 6, 2009
8,018 3,175 280
Huyu kigagula anamaanisha chumvi hii inayoitwa salt ndo wananchi wanagaiwa kama rushwa..? Ina maana amewadharau kiasi hicho wanachi wa Monduli kweli..? Huyu sio bureee..
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
36,637
Likes
47,242
Points
280
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
36,637 47,242 280
yani chadema wanagawa rushwa ya chumvi kwa kina mama ili wawape kura alafu tena hao-hao chadema wanawatisha hao kina mama wasijitokeze kupiga kura??


Chakubanga na CCM mnahaha baada ya kubananishwa kwenye kona ya kitanda hapo Monduli.
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
36,637
Likes
47,242
Points
280
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
36,637 47,242 280
Huyu kigagula anamaanisha chumvi hii inayoitwa salt ndo wananchi wanagaiwa kama rushwa..? Ina maana amewadharau kiasi hicho wanachi wa Monduli kweli..? Huyu sio bureee..
huko umasaini chumvi imetapakaa kwenye ardhi hata haina mlaji alafu leo chakunga anasema watu wanapewa rushwa ya chumvi
 
2hery

2hery

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2011
Messages
4,099
Likes
2,933
Points
280
2hery

2hery

JF-Expert Member
Joined May 27, 2011
4,099 2,933 280
Kwa namna moja anakiri kuwa hali ya watu wa Monduli ni mvaya hivyo kushindwa kununua chumvi mkuu sosoliso. Kweli huwezi kuficha kinyesi kitakunukia tu..
 
Kaitampunu

Kaitampunu

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2011
Messages
1,766
Likes
122
Points
160
Kaitampunu

Kaitampunu

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2011
1,766 122 160
Kwani walioanza kugawa chumvi huko nyuma ni nani?
 
M

Msengapavi

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2008
Messages
6,530
Likes
4,750
Points
280
M

Msengapavi

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2008
6,530 4,750 280
Kinachonifurahisha ni kuona kuwa zamu CCM kulalamika. Yawezeka wameshaona kuwa hata kuiba yaweza kuwa ngumu. Hii preemptive complaint inafurahisha sana!
 
Muyobhyo

Muyobhyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Messages
7,965
Likes
5,795
Points
280
Muyobhyo

Muyobhyo

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2014
7,965 5,795 280
nyie mmbona mnavalisha rc, ded, dc nguo za chama na wanapiga kampeni za chama tawala wakati miiko ya kazi haiko hivyo, hamlioni hili
 
VAPS

VAPS

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Messages
1,694
Likes
2,765
Points
280
Age
32
VAPS

VAPS

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2012
1,694 2,765 280
Hizi chaguzi ndogo ziwape somo.Mfumo democrasia na vyama vingi ni sehemu ya maisha ya Watanzania walio wengi.Mkome kununua watu kuunga juhudi.
 
Mzee Kigogo

Mzee Kigogo

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Messages
1,345
Likes
1,588
Points
280
Mzee Kigogo

Mzee Kigogo

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2018
1,345 1,588 280
Wameshikwa pabaya wameanza kulialia! Poor ccm
 

Forum statistics

Threads 1,235,534
Members 474,641
Posts 29,225,844