Polepole CCM ilifanya jitihada kubwa kumdhalilisha

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,729
Reaction score
5,639
Wakati ule walipomtoa katika Ile kazi ya Katibu Mwenezi.
Wakampeleka kwenye Kamati ya Maadili for no clear reason.

Baadaye CCM wakaamua kwamba they will rehabilitate him . Wakampeleka Malawi kuwa balozi halafu Cuba. Ile ilikuwa change of heart for CCM. Kwa Polepole ilikuwa restoration and rehabilitation.

Kwa hiyo labda sasa Polepole yuko resentful na labda anataka kulipiza kisasi kwa haya maneno anavyosema.

Polepole amekuwa akisema kwamba CCM imwondoe Mama,iweke mgombea urais mwingine. Lakini kama CCM imeshakataa,hakuna sababu na hakuna tija kwa Polepole kuendelea kusema anataka Mama aondolewe.

Na mambo anayoongea sasa hivi yanakuwa ni distraction katika Uchaguzi.
 
Baadaye CCM wakaamua kwamba they will rehabilitate him . Wakampeleka Malawi kuwa balozi halafu Cuba. Ile ilikuwa change of heart for CCM. Kwa Polepole ilikuwa restoration and rehabilitation. Kwa hiyo labda sasa Polepole yuko resentful na labda anataka kulipiza kisasi kwa haya maneno anavyosema.
Polepole amekuwa akisema kwamba CCM imwondoe Mama,iweke mgombea urais mwingine. Lakini kama CCM imeshakataa,hakuna sababu na hakuna tija kwa Polepole kuendelea kusema anataka Mama aondolewe.
Na mambo anayoongea sasa hivi yanakuwa ni distraction katika Uchaguzi.
Kuna uchaguzi? Ni elected position gani bado hujui itajazwa na nani?
 
Mbona hujadili sababu anazotoa Polepole kwanini anataka Mh.Samia asigombee?
Kukataa hoja yake sababu yupo peke yake au wapo wachache ndani ya CCM wanaotaka SSH asigombee haiondoi ukweli wa hoja au tuhuma zake.
Baba yako J.K. Nyerere aliwahi kusema na kuandika sehemu mtu mmoja anaweza kuwa sahihi na wengi wakawa wamekosea. Huyo mmoja anayo haki ya kusikilizwa kwa makini na ikilazimu hoja yake ipite.
 
Mama Kakaza Shingo.....! Kwa madai ya Mama ni kwamba akipita hapa ndo atakuwa anaanza awamu yake ya Kwanza jumlisha awamu ya pili.
Sasa jumlisha na hii ya anayomalizia, Jumlisha na pale alipokuwa makamu wa Raisi....ina maana yupo yupo anga hizo itatimia Miaka 20...!
 
Mbona hujadili sababu anazotoa Polepole kwanini anataka Mh.Samia asigombee?
Kuukataa hoja yake sababu yupo peke yake au wapo wachache ndani ya CCM wanataka SSH asigombee haiondoi ukweli wa hoja au tuhuma zake.
Baba yako J.K. Nyerere aliwahi kusema na kuandika sehemu mtu mmoja anaweza kuwa sahihi na wengi wakawa wamekosea. Huyo mmoja anayo haki ya kusikilizwa kwa makini na ikilazimu hoja yake ipite.
What Polepole is currently facing is called a Road to Damascus Moment. He's facing a monster his took pleasure in engineering.

He speaks some truths, but still Cherry Picks to absolve himself from total liability.
 
WAtu pekee mnaopata shida ni mliokuwa mnaaminigi uchaguzi huwaga ni huru na haki.

Polepole ataendelea kuongea mpaka ataanza kuchoka, hiyo ndo ccm
 
Wakati ule walipomtoa katika Ile kazi ya Katibu Mwenezi.
Wakampeleka kwenye Kamati ya Maadili for no clear reason.

Baadaye CCM wakaamua kwamba they will rehabilitate him . Wakampeleka Malawi kuwa balozi halafu Cuba. Ile ilikuwa change of heart for CCM. Kwa Polepole ilikuwa restoration and rehabilitation.

Kwa hiyo labda sasa Polepole yuko resentful na labda anataka kulipiza kisasi kwa haya maneno anavyosema.

Polepole amekuwa akisema kwamba CCM imwondoe Mama,iweke mgombea urais mwingine. Lakini kama CCM imeshakataa,hakuna sababu na hakuna tija kwa Polepole kuendelea kusema anataka Mama aondolewe.

Na mambo anayoongea sasa hivi yanakuwa ni distraction katika Uchaguzi.
Haya mambo anayosema ni mazuri tu. Kwani hatuna haki ya kujua mema na mabaya wanayotufanyia wahuni?
 
What Polepole is currently facing is called a Road to Damascus Moment. He's facing a monster his took pleasure in engineering.

He speaks some truths, but still Cherry Picks to absolve himself from total liability.
Total confusion! Wadhungu wa tz hatari
 
Kitu ambacho wengi wetu hatujang'amui ni mafisadi hawana wala shida na ama nani awe Rais ila Kwa sasa wameona Katiba mpya lazima iandikwe wao wakiwa na upper hand kuifanya iwe to their interest ndiyo sababu wanaona mtu sahihi hata kama hakubaliki ni huyu because she is controllable. Poleni watanzania tuendelee kumwomba Mungu maana kuondoka Misri Phatraoh amegoma😢
 
WAtu pekee mnaopata shida ni mliokuwa mnaaminigi uchaguzi huwaga ni huru na haki.

Polepole ataendelea kuongea mpaka ataanza kuchoka, hiyo ndo ccm
Anatusaidia tu kujua vizuri kinachoendelea na tabia za CCM. Kimsingi na yeye ni tatizo wakati wanashinda enzi za mwendazake, kuna foul nyingi zilikuwa zinafanyika na hakuthubutu kutetea maslahi ya wengi.
Na sasa ni mapambano ndani ya chama chao lakini anapeleka tuone kama ni maslahi ya taifa moja kwa moja.

Kwa mtazamo wangu, ni Tundu Lissu tu ndio ka prove kuwa kuna kitu anatamani kifanyike kwa maslahi ya wengi, kwa maana ya depth na height alizoenda katika kupambania anachokiamini.

Nakubaliana na wewe
 
  • Thanks
Reactions: Lax

Naam, naunga mkono kila nukta
 
Mama Kakaza Shingo.....! Kwa madai ya Mama ni kwamba akipita hapa ndo atakuwa anaanza awamu yake ya Kwanza jumlisha awamu ya pili.
Sasa jumlisha na hii ya anayomalizia, Jumlisha na pale alipokuwa makamu wa Raisi....ina maana yupo yupo anga hizo itatimia Miaka 20...!
Aya meneno mnadanganywa nanani kitoto ivi mbona kisheria
imeshaelezwa tena na mwanasheria mkuu wa Serikali
palepale mwanzo wakati Rais Samia ameapishwa kuwa ni Rais wa 2020to25
hii awamu ya 6 sio ya tano na katoa sababu za kisheria kwanini sio tena awamu ya 5
kwaiyo Rais Samia Suluhu Hassan kabakisha miaka m5 tu mpaka 2030

✍️ Na Rip JPM katawala kwa miaka m5 tu sasa ni aibu kijana kudanganywa uko kwenu au Kanisani kwenu iwe Msikitini ni ujinga kutuletea hapa jamii forum
au tuseme ndio unafanya propaganda za kumpinga Rais Samia basi sawa😅😅
japo unapotosha wasomaji wa jamii forum.
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN mwisho wa kipindi chake ni 2030 zaidi ya apo ni kinyume na Sheria✍️
 
ID yako kubwa jamii forum mkuu !!
au naifananisha Chunguza ya kuambiwa changanya na zako mkuu!!!
 
Back
Top Bottom