Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,415
Kaka mkubwa hivi vigongo vyako siku hizi duhHata akiamua kuwapeleka Marekani , haituhusu!
Ccm inajali wasanii kuna chama fulani kilimtelekeza msanii aliyeimba wimbo wa chama hicho
Kama mlivyo watelekeza waliopatwa na maafa ya tetemeko bukobaCcm inajali wasanii kuna chama fulani kilimtelekeza msanii aliyeimba wimbo wa chama hicho
Kama mlivyo wathamini waathilika wa tetemeko kule bukobaChama Cha watu huthamini watu wake wanapopata matatizo.
Chama Cha wanafiki hufurahia watu wanapopata matatizo...
Wnakera sana hawa watu! ra wasanii, mara kusomba watu, khee! Hivi mtu atabadili mawazo ya ampigie nani kura kwa vile mmeleta wasanii? Atakuwa bado anawakumbuka wasanii?Kaka mkubwa hivi vigongo vyako siku hizi duh
Hata basha wako alikutelekeza ulipo poteza marinda yoteCCM inajali wasanii kuna chama fulani kilimtelekeza msanii aliyeimba wimbo wa chama hicho
HeeeKwann hayajafa ?
Mbowe alimdhulumu hata pesa zake.CCM inajali wasanii kuna chama fulani kilimtelekeza msanii aliyeimba wimbo wa chama hicho