Ndio maana sishabikii chama chochote...
Sababu kwa Africa hata kwa mfano CDM kwa Tanzania wangeshika nchi, na wao wangekataa kuachia serikali kwa kuja na sheria zao za nywii nywii ili waedelee kuishi, tumeona Kenya wameshauwana sana kutokubali chama kingine kuachia halafu huko KANU kama CCM ilishajifia zamani, lakini haya mauaji ni kati ya vyama vipya....
Zanbia nao ni vile vile,....kila siku fujo wakati ZANU ilishakufa zamani....