Polepole asingekuwa mjamaa angepata support zaidi!
Ukiwa mjamaa hakuna wakukutetea maana wenyewe wanaamini chama kuliko uhai wa mtu. Polepole alipenda hizo nchi za kijamaa kama China, N Korea na Cuba sasa ubaya wa mifumo ya kijamaa ni ya mtu Mungu.
Polepole sasa ni ngumu kumuombea msaada kwa record zake za kuita nchi mebeberu! Hao Mabeberu ndiyo watetea haki za binadamu wale wachina na wa Cuba masikini hata rambirambi hawatoi maana wenyewe ubinadamu ni kitu cha mwisho uchawa na upambe ndiyo uko mbele