Polepole asema watu wabaya CCM wanajulikana

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,754
Reaction score
2,859
Humphrey Polepole ameeleza kuwa watu wabaya CCM wanajulikana. Amesisitiza chama kinapaswa kuhakikisha watu wabaya na wahuni hawaingii kwenye mchakato na chama kinawajua.

"Urekibishaji unaanza kuhakikisha kwamba hakuna watu wabaya na wahuni wanaingia kwenye mchakato na chama kinawajua mbona hili liko wazi. Watu wabaya wanajulikana, sisi tunazungumza kama wana CCM" - Humphrey Polepole
Your browser is not able to display this video.
 
Na huo ndio ukweli wenyewe ndugu zng watanganyika.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…