Son Of Simon
Member
- Aug 27, 2025
- 7
- 4
Mimi ndio natoka mjini narudi kijijini nikamalize shughuli zangu mapema saa zifike nimsikilize huyu mtu jasiri anayewafungua watu-Polepole.POLEPOLE ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU KULIKO KUMSHANGAA
Hivi sasa idadi kubwa ya Watu wameamua kumpuuza polepole kwa kile anachokisema na kukirusha kwenye mitandao kila siku,Sababu ya Wananchi kumpuuza ni kutokana na historia yake wakati wa serikali ya Magufuli
Kwanini Polepole hakumshauri Magufuli asivifungie vyama vya siasa kufanya kazi zao za kikatiba?
Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awatafute wahuni waliokua wanabambikia watu kesi na kupora mali zao,wahuni waliokua wanateka,anatesa na kuuwa watu?
Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awashughulikie wahuni walipora fedha kwenye mifuko ya hifadhi za jamii na kupelekea wastaafu kukosa fedha zai kwa wakati?
Leo polepole anajikasimisha majukumu mazito ya kujifanya kuitetea CCM na Tanzania bila kutaja jukumi hilo amepewa na nani,kiufupi yani yeye anakijua chama kuliko wajumbe wote wa CCM na ana uchungu na Tanzania kuliko watanzania wenyewe walioamua kumuunga mkono Dkt Samia?
Polepole huyu huyu alikaa kimya alipowasikia wahuni waliojitokeza hadharani kutaka kubadilisha katiba ya Nchi ili kuongeza mda wa ukomo wa Urais Madarakani.Hii inaonyesha wazi walikaa kimya ili kutaka kupima upepo wa Nje ili mda wao waliopanga ukifika watekeleze adhima yao ya kuendelea kubaki madarakani mpaka mda waliokua wamepanga.
Polepole ni mtu wa kupuuzwa hapaswi kusikilizwa hata kidogo na tunajua hawezi kuwa peke yake ni lazima kuna kundi liko nyuma linalompa nguvu na kumficha,Lakini tunasema wakati wa Mungu utafika mda sio mrefu na hukumu ya Mungu itafanya kazi yake.
Pole pole tupo nae na tunatamba nae. Haiwezekani kuwa na idadi kubwa ya watanzania maskini. Pole pole akisema tuingie barabarani tunamuunga mkono.POLEPOLE ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU KULIKO KUMSHANGAA
Hivi sasa idadi kubwa ya Watu wameamua kumpuuza polepole kwa kile anachokisema na kukirusha kwenye mitandao kila siku,Sababu ya Wananchi kumpuuza ni kutokana na historia yake wakati wa serikali ya Magufuli
Kwanini Polepole hakumshauri Magufuli asivifungie vyama vya siasa kufanya kazi zao za kikatiba?
Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awatafute wahuni waliokua wanabambikia watu kesi na kupora mali zao,wahuni waliokua wanateka,anatesa na kuuwa watu?
Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awashughulikie wahuni walipora fedha kwenye mifuko ya hifadhi za jamii na kupelekea wastaafu kukosa fedha zai kwa wakati?
Leo polepole anajikasimisha majukumu mazito ya kujifanya kuitetea CCM na Tanzania bila kutaja jukumi hilo amepewa na nani,kiufupi yani yeye anakijua chama kuliko wajumbe wote wa CCM na ana uchungu na Tanzania kuliko watanzania wenyewe walioamua kumuunga mkono Dkt Samia?
Polepole huyu huyu alikaa kimya alipowasikia wahuni waliojitokeza hadharani kutaka kubadilisha katiba ya Nchi ili kuongeza mda wa ukomo wa Urais Madarakani.Hii inaonyesha wazi walikaa kimya ili kutaka kupima upepo wa Nje ili mda wao waliopanga ukifika watekeleze adhima yao ya kuendelea kubaki madarakani mpaka mda waliokua wamepanga.
Polepole ni mtu wa kupuuzwa hapaswi kusikilizwa hata kidogo na tunajua hawezi kuwa peke yake ni lazima kuna kundi liko nyuma linalompa nguvu na kumficha,Lakini tunasema wakati wa Mungu utafika mda sio mrefu na hukumu ya Mungu itafanya kazi yake.
Hayati hayupo, matendo yapo hayapo? Jibu kama yapo, iweje tusijikite kuyazuia badala yake tujikite kwingine?...wanateka,anatesa na kuuwa watu?
CCM wanataka kujinyeaPolepole ataongea na umma leo saa tatu usiku, usikose.
Hawa UWT unadhani wana hoja basi, ni wapumbavu fulaniMpo wengi mmejiunga August kwa ID's mpya kumshambulia Polepole, hakuna hata mmoja anayejibu hoja zake zaidi ya kutetea matumbo yenu. Mmejaribu kumzima mmeshindwa, naona hata mitandao hamfungii tena, mmejiona wajinga. Mmeishia kuanzisha threads mpya kila dakika 10, kumshambulia Polepole.
Msaada wa kwanza mkubwa kabisa kwake inabidi wenye mamlaka wasimjali iwapo tu haendi zaidi ya kuongea maneno ya kawaida yasiyokuwa tishio kwa usalama wa wanannchiPOLEPOLE ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU KULIKO KUMSHANGAA