Unajua maana ya kuambiana uongo?Nimesikiliza mara nyingi hotuba za Mheshimiwa Polepole, na nimejiridhisha pasina shaka kwamba huyu ndugu ni Mkristo, tena aliyebobea katika ujuzi wa Biblia.
Katika hotuba zake anazoziwasilisha kwa weledi wa hali ya juu, mara nyingi akimaliza episode ya kwanza, huwa anaahidi kwamba siku fulani na saa fulani ataongea tena na umma. Hata hivyo, ahadi hiyo huwa haitimii kwa asilimia mia moja. Kuna wakati anaanza kuongea mapema kabla ya muda aliousema, na wakati mwingine anachelewa sana kuanza. Of course, hiyo inaweza kuwa mbinu ya kuwakwepa wakata swichi, lakini sidhani kama jambo hilo linampendeza Mungu anayemuabudu. Mimi sio mjuzi sana wa Biblia, lakini nakumbuka kuna mahali imeandikwa kwamba tusiambiane uongo, kwakuwa tumeuvua utu wa kale; na kwamba waongo watahukumiwa adhabu.
Ndio sababu nauliza: huyu Mheshimiwa amejivua Ukristo? Kama bado, kwanini hayatimizi maagizo ya Bwana Yesu? Na je, kama malengo yake yatafanikiwa, si ataendelea na tabia hiyohiyo ya kuudanganya umma hata katika mambo nyeti?
Kwa unyenyekevu mkubwa, nawasilisha maswali yangu.
Yes,Nimesikiliza mara nyingi hotuba za Mheshimiwa Polepole, na nimejiridhisha pasina shaka kwamba huyu ndugu ni Mkristo, tena aliyebobea katika ujuzi wa Biblia.
Katika hotuba zake anazoziwasilisha kwa weledi wa hali ya juu, mara nyingi akimaliza episode ya kwanza, huwa anaahidi kwamba siku fulani na saa fulani ataongea tena na umma. Hata hivyo, ahadi hiyo huwa haitimii kwa asilimia mia moja. Kuna wakati anaanza kuongea mapema kabla ya muda aliousema, na wakati mwingine anachelewa sana kuanza. Of course, hiyo inaweza kuwa mbinu ya kuwakwepa wakata swichi, lakini sidhani kama jambo hilo linampendeza Mungu anayemuabudu. Mimi sio mjuzi sana wa Biblia, lakini nakumbuka kuna mahali imeandikwa kwamba tusiambiane uongo, kwakuwa tumeuvua utu wa kale; na kwamba waongo watahukumiwa adhabu.
Ndio sababu nauliza: huyu Mheshimiwa amejivua Ukristo? Kama bado, kwanini hayatimizi maagizo ya Bwana Yesu? Na je, kama malengo yake yatafanikiwa, si ataendelea na tabia hiyohiyo ya kuudanganya umma hata katika mambo nyeti?
Kwa unyenyekevu mkubwa, nawasilisha maswali yangu.
Ukiwaiwa utapona, hujaathirika sana.Nimesikiliza mara nyingi hotuba za Mheshimiwa Polepole, na nimejiridhisha pasina shaka kwamba huyu ndugu ni Mkristo, tena aliyebobea katika ujuzi wa Biblia.
Katika hotuba zake anazoziwasilisha kwa weledi wa hali ya juu, mara nyingi akimaliza episode ya kwanza, huwa anaahidi kwamba siku fulani na saa fulani ataongea tena na umma. Hata hivyo, ahadi hiyo huwa haitimii kwa asilimia mia moja. Kuna wakati anaanza kuongea mapema kabla ya muda aliousema, na wakati mwingine anachelewa sana kuanza. Of course, hiyo inaweza kuwa mbinu ya kuwakwepa wakata swichi, lakini sidhani kama jambo hilo linampendeza Mungu anayemuabudu. Mimi sio mjuzi sana wa Biblia, lakini nakumbuka kuna mahali imeandikwa kwamba tusiambiane uongo, kwakuwa tumeuvua utu wa kale; na kwamba waongo watahukumiwa adhabu.
Ndio sababu nauliza: huyu Mheshimiwa amejivua Ukristo? Kama bado, kwanini hayatimizi maagizo ya Bwana Yesu? Na je, kama malengo yake yatafanikiwa, si ataendelea na tabia hiyohiyo ya kuudanganya umma hata katika mambo nyeti?
Kwa unyenyekevu mkubwa, nawasilisha maswali yangu.
Wewe ni mzima internet mshenzi wewe ndio MANA anawapiga vyenga vya mudaNimesikiliza mara nyingi hotuba za Mheshimiwa Polepole, na nimejiridhisha pasina shaka kwamba huyu ndugu ni Mkristo, tena aliyebobea katika ujuzi wa Biblia.
Katika hotuba zake anazoziwasilisha kwa weledi wa hali ya juu, mara nyingi akimaliza episode ya kwanza, huwa anaahidi kwamba siku fulani na saa fulani ataongea tena na umma. Hata hivyo, ahadi hiyo huwa haitimii kwa asilimia mia moja. Kuna wakati anaanza kuongea mapema kabla ya muda aliousema, na wakati mwingine anachelewa sana kuanza. Of course, hiyo inaweza kuwa mbinu ya kuwakwepa wakata swichi, lakini sidhani kama jambo hilo linampendeza Mungu anayemuabudu. Mimi sio mjuzi sana wa Biblia, lakini nakumbuka kuna mahali imeandikwa kwamba tusiambiane uongo, kwakuwa tumeuvua utu wa kale; na kwamba waongo watahukumiwa adhabu.
Ndio sababu nauliza: huyu Mheshimiwa amejivua Ukristo? Kama bado, kwanini hayatimizi maagizo ya Bwana Yesu? Na je, kama malengo yake yatafanikiwa, si ataendelea na tabia hiyohiyo ya kuudanganya umma hata katika mambo nyeti?
Kwa unyenyekevu mkubwa, nawasilisha maswali yangu.
Inawezekana sababu ya kuchelewa ikawa nje ya uwezo wakeNdio sababu nauliza: huyu Mheshimiwa amejivua Ukristo? Kama bado, kwanini hayatimizi maagizo ya Bwana Yesu?
Wapo wazee ILA sio wazee wajinga kama weweUtapungukiwa nini ukiheshimu ngaa kidogo nywele zangu nyeupe? Au kwenu hakuna wazee?
Chachu kidogo huchachua donge zima. Hapo vipi, mkuuKatika mwenendo woooote wa polepole umeguswa na kuchelewa ama kuwahi kwake tu kuolanza kuzungumza kaka ???
Are you you ?... or you are just another CROOKED COMRADE speaking through your ID ??