Safi sana. Nitakuja kununua maharagwe. Kwani ni lini umetoka Tandahimba?Kwa sasa ninalima maharage na mahindi hapa kakonko unakaribishwa sana
Sijui mzee jaji warioba atakuwa anajisikiaje kwa kumuona kijana wake anamgeuka ktk walio kuwa wana hubiriNILWAHI KUSOMA KWENYE BIBLIA KWAMBA NJAA ILIPOMZIDI ESAU ALIUZA UKUBWA WAKE KWA MDOGO WAKE YAKOBO....(KWAHAKIKA HII HADITHI INAFUNZO KUBWA SANA)
="Mmawia, post: 16834867, je tuendelee kumwamini polepole?
Msimamo mbele ya posho ?!Wana jamvi tutakumbuka ni jinsi gani Polepole alivyokuwa anapinga nafasi za wakuu wa wilaya kwa kuisimamia rasimu ya katiba ya jaji warioba, alienda mbali zaidi kwa kusema kuwa vyeo hivyo ni vya kupoteza fedha! Sasa nashangaa kuvalia suti kuingia ofisi hiyo hiyo baada ya kupewa nafasi hiyo na mh rais magufuri, je tuendelee kumwamini polepole?View attachment 365900
Hata yeye amenyamazishwa kumbuka Kipi pia ni DCNamuhurumia mzee jaji warioba
Mkuu mwanae Kipi nae si kaukwaa......Sijui mzee jaji warioba atakuwa anajisikiaje kwa kumuona kijana wake anamgeuka ktk walio kuwa wana hubiri