Umeshamwacha mumeo mbona bado unamlilia
Akiongea bila kumtaja jina Humphrey PolePole anasema kuwa wote waliokatwa na kamati ya Mangula ambao walikuwa 15 waliitwa na kuelezwa sababu za kukatwa.
Sasa yule ambaye alionekana kukiuka maadili especially ya kifisadi alipoelezwa aliyoyafanya aliishia KUOMBA MSAMAHA..!!
Kwa ufupi tu Lowasaa alikutwa na uvunjifu wa maadili na hatimaye kukatwa!
Cc:KINGUNGE
Source: 360 cloudstv
Pole pole ni mwongo na mzushi, anachokisema hakipo ndani ya CCM, Hakuna popote katika kanuni, taratibu au sheria za CCM inaonyesha kuwa Kamati ya Maadili anapaswa kuita wagombea na kuwahoji.
Lakini yote kwa yote, hicho kitu anachosema Polepole hakikutokea kabisa.
Ni jambo la ajabu kabisa Polepole kuzungumzia jambo ambalo hakuna mahali popote limezungumzwa na kiongozi yoyote wa CCM.
Yuko well informed!ufanyike mdahalo wa polepole na LOWASSA tu muone anavyoumbuka LOWASSA polepole ni namba nyingine. nikijana anaepaswa kulindwa sana maana mafisadi wa hii nchi watambenea sasa hivi
Kati ya 38 mchujo ulibakiza 15 na baadae chekecheke likabakiza 5.
Kumbe wote walielezwa kwa nini wamekatwa...Lowassa aliomba msamaha baada ya kuoneshwa file!!!
Kwi kwi kwi...