Uchaguzi 2020 Polepole acha kuruka viunzi, tunataka utuambie kwa nini maisha yamekuwa magumu uraiani

Binadamu tunabadilika bwana, yaani kutoka kutetea wananchi hadi kutetea tumbo lako. Pole pole amesafiri na Rasimu ya katiba, bado hajarudi.
 
Unazungumzia mambo ambayo yapo wazi kama ukaguzi wa ATCL, deni la taifa, sera za majimbo za CHADEMA hizi ni hoja zipo wazi. Na mwananchi wa kawaida sasa ambae maisha yake yamekuwa duni haya masuala uliofafanua hayana msaada kwake.

Tunataka utuambie kwa nini maisha yamekuwa magumu uraiani na kwa nini CCM haisadii wananchi?

Watu wana maisha magumu wanashindia mihogo ya kukaanga. Biashara zimefungwa na watu wanashindwa kujiajiri maana hamna uwezo wa watu kununua, ndio maana biashara zinakufa. Mbona haya hujafafanua na kutoa majibu maana wananchi wana hali mbaya sana. Alafu unaleta tabasamu la kinafiki sababu wewe una uhakika wa maisha.



Huyo akili yake inafikiri kama jina lake.
 
Ni Mtazamo, kwangu is 100% than Tanzania, kwako inaweza kuwa tofauti!

Its simple hujaishi any states, and you have never worked there, mtu ambae ameishi pale lazima ajue credit cards, income tax and federal reserve tax, wewe umeishi marekani gan bro, ambayo in taxes tu inakutoka almost 40% mpaka 60%.

- If you have student loan thats more higher than that, tanzania income tax na makoro koro hajazidi 18%, just get lost young man
 
its simple hujaishi any states, and you have never worked there, mtu ambae ameishi pale lazima ajue credit cards, income tax and federal reserve tax, wewe umeishi marekani gan bro, ambayo in taxes tu inakutoka almost 40% mpaka 60%,

- if you have student loan thats more higher than that, tanzania income tax na makoro koro hajazidi 18%, just get lost young man

All that can be true and yet is better for me, Labda kama una issue za ubebaji wa Mabox as a CPA holder working in San Diego it was better 100% than Tanzania for me!
 
All that can be true and yet is better for me, Labda kama una issue za ubebaji wa Mabox as a CPA holder working in San Diego it was better 100% than Tanzania for me!

sasa unafanya nn tz kama maisha kule yalikua mazuri kwako? get back there ukaungane na mange kimambi, sasa unafanya nn uku, and without forgeting blacks vs polices ni kitu cha kawaida,
 
polepole anasikitisha sana angali ukweli anaujua sana ila ndio ivo kapata ujira anaona watanzania mabwege
 
The opposition, by its name, opposed itself, enventually falling into depression. The next 5 years will be even more repressing and depressing. Watch ma words
Absolutely, the country should soldier on to prosperity.
 
Biashara gani zimefungwa? Si ukute unazungumzia biashara za gongo na kutakatisha fedha.
Wanachukua trilion 1.5 na kula 10% ununuzi wa Ndege ni zaidi ya utakatishaji pesa, wanazuia watanzania waliopo nje kutuma pesa kwa ndugu zao kwa visingizio vya utakatishaji pesa matokeo yake Watanzania wengi wamefungua A/C kenya na Uganda wakitumiwa pesa huenda huko kuchukua kidogo na kuimarisha uchumi wa hizo nchi.
 
Tatizo la lumumba ni vilaza. Hoja ya Lissu sio kiasi gani kilipitishwa na Bunge, hoja yake ni kiasi gani kimelipwa kwa kila ndege???

Bunge kupitisha bilioni 400 kununulia ndege haimaanishi hela yote imeenda kutumika kununulia ndege. Inawezekana wametumia bilioni 200 tu kununua ndege na nyingine wakaweka mfukoni.

Majibu kwa hoja za Lissu ni kuwa CCM waoneshe bank transactions kutoka serikali ya Tanzania kwenda Boeing na Bombardier kuonesha walilipa shilingi ngapi kwa kila ndege not otherwise.

Bado CCM hamjajibu hoja za Lissu!! Mnaweweseka tu 😂😂😂😂😂😂
Malipo ya cash kwenye ununuzi Ndege yana ufisadi wa kutisha mno pesa nyingi ilibakia kwa mtukufu na wajanja wachache wenzake ndiyo maana walimtoa CAG baada ya kukomalia hesabu za ununuzi Ndege kienyeji pasipo idhini ya bunge.
 
mzee kama ATC ingekuwa ipi ICU leo hii ingekuwa hewani mbona kuna baadhi ya mambo mnamezeshwa nanyi mnashindwa kuyachuja kama hakuna IQ kabisa
Wewe ni mbumbumbu hujui kitu kaa kimya wenzako wanajua ATCL inaendeshwa kwa ruzuku toka kwenye pesa za walipa kodi, shirika linajendesha kwa hasara lakini mtukufu kwa kuona itakuwa fedheha kwake ndipo kaamua kutoa ruzuku kuficha Aibu.
 
Back
Top Bottom