O OLIKOBO JR Member Joined Aug 24, 2020 Posts 35 Reaction score 29 Nov 1, 2020 #41 Alafu Alafu utawakuta mbele ya madhabau
The Mongolian Savage JF-Expert Member Joined Jul 5, 2018 Posts 9,170 Reaction score 20,202 Nov 1, 2020 #42 Karibu Sana said: Jinyonge loser Click to expand... Utadhani kanguchiro flani hivii. Yani kanabidi Kawe listed kwenye rodents family.
Karibu Sana said: Jinyonge loser Click to expand... Utadhani kanguchiro flani hivii. Yani kanabidi Kawe listed kwenye rodents family.
O OLIKOBO JR Member Joined Aug 24, 2020 Posts 35 Reaction score 29 Nov 1, 2020 #43 Slow slow anatetea tumbo lake
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,844 Nov 1, 2020 #44 Ndiyo aina ya wasomi wa Tanzania waliopo
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,844 Nov 1, 2020 #45 chagu wa malunde said: Acheni hasira ni wananchi ndio walichagua kuiadhibu Chadema na sasa imekufa kabisa. Click to expand... Wananchi gani?
chagu wa malunde said: Acheni hasira ni wananchi ndio walichagua kuiadhibu Chadema na sasa imekufa kabisa. Click to expand... Wananchi gani?
Chagu wa Malunde JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 8,744 Reaction score 5,769 Nov 1, 2020 #46 Babati said: Wananchi gani? Click to expand... Mil 12+ waliompa JPM ushindi.
F FOCAL JF-Expert Member Joined Jun 25, 2019 Posts 3,645 Reaction score 5,197 Nov 1, 2020 #47 chagu wa malunde said: Acha hasira za kitoto. Habari za kupungua mwili zinahusika vipi? Click to expand... Ila kabadilika sana ndani ya muda mfupi, anaonekana mzee na uso umechoka. Hivyo ndivyo nilivyomuona leo. Usijibu kwa jazba najua wewe ni kada mtiifu ambaye anaweza akaona trekta lakini akakwambia ni Range Rover
chagu wa malunde said: Acha hasira za kitoto. Habari za kupungua mwili zinahusika vipi? Click to expand... Ila kabadilika sana ndani ya muda mfupi, anaonekana mzee na uso umechoka. Hivyo ndivyo nilivyomuona leo. Usijibu kwa jazba najua wewe ni kada mtiifu ambaye anaweza akaona trekta lakini akakwambia ni Range Rover
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,844 Nov 1, 2020 #48 chagu wa malunde said: Mil 12+ waliompa JPM ushindi. Click to expand... Kura za NEC
rmajani JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 532 Reaction score 528 Nov 1, 2020 #49 Kumbe mnamsikiliza kheee
Chagu wa Malunde JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 8,744 Reaction score 5,769 Nov 1, 2020 #50 Babati said: Kura za NEC Click to expand... Mtaimba kila uongo,tuliwaambia CHADEMA inaenda kuzikwa.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,844 Nov 1, 2020 #51 chagu wa malunde said: Mtaimba kila uongo,tuliwaambia Chadema inaenda kuzikwa. Click to expand... Kazike dingi yako
chagu wa malunde said: Mtaimba kila uongo,tuliwaambia Chadema inaenda kuzikwa. Click to expand... Kazike dingi yako
Chagu wa Malunde JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 8,744 Reaction score 5,769 Nov 1, 2020 #52 Babati said: Kazike dingi yako Click to expand... Ahaaaa,acha hasira unaweza kula sumu.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,844 Nov 1, 2020 #53 chagu wa malunde said: Ahaaaa,acha hasira unaweza kula sumu. Click to expand... Aibu yenu
Nakukunda JF-Expert Member Joined Jul 10, 2017 Posts 875 Reaction score 1,647 Nov 1, 2020 #54 Hakuna anayethubutu kuja kwa mitandao ya kijamii kushukuru.Wanajua moto wake... Wakienda mtaani wanakutana na ya Mavunde Hii miaka mitano itakuwa migumu sana kwao
Hakuna anayethubutu kuja kwa mitandao ya kijamii kushukuru.Wanajua moto wake... Wakienda mtaani wanakutana na ya Mavunde Hii miaka mitano itakuwa migumu sana kwao
Chagu wa Malunde JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 8,744 Reaction score 5,769 Nov 1, 2020 #55 Babati said: Aibu yenu Click to expand... Chuma kinaapishwa tar 5 kuwanyoosha tena. Mlizoea kula kodi za wananchi bure.
Babati said: Aibu yenu Click to expand... Chuma kinaapishwa tar 5 kuwanyoosha tena. Mlizoea kula kodi za wananchi bure.
Daisy Llilies JF-Expert Member Joined Apr 19, 2019 Posts 1,017 Reaction score 2,163 Nov 1, 2020 #56 Usher-smith said: Huku mtaani kwetu kila mwenye nguo ya kijani akikatiza, anaitwa mwizi Sent from my G-PADLITE using JamiiForums mobile app Click to expand...
Usher-smith said: Huku mtaani kwetu kila mwenye nguo ya kijani akikatiza, anaitwa mwizi Sent from my G-PADLITE using JamiiForums mobile app Click to expand...
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,844 Nov 1, 2020 #57 chagu wa malunde said: Chuma kinaapishwa tar 5 kuwanyoosha tena. Mlizoea kula kodi za wananchi bure. Click to expand... Wewe na familia yako ni mafukara wa kutupwa
chagu wa malunde said: Chuma kinaapishwa tar 5 kuwanyoosha tena. Mlizoea kula kodi za wananchi bure. Click to expand... Wewe na familia yako ni mafukara wa kutupwa
residentura JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 9,531 Reaction score 13,458 Nov 1, 2020 #58 mitigator said: Hahah sawa kibabu nafikiri saiz kisura chako km kiajuza kitabadirika na utanenepa... Click to expand... Na ViRuSsia atamwachia nani.
mitigator said: Hahah sawa kibabu nafikiri saiz kisura chako km kiajuza kitabadirika na utanenepa... Click to expand... Na ViRuSsia atamwachia nani.
K Karibu Sana JF-Expert Member Joined Mar 14, 2020 Posts 991 Reaction score 1,774 Nov 1, 2020 #59 Jon Stephano said: Utadhani kanguchiro flani hivii. Yani kanabidi Kawe listed kwenye rodents family. Click to expand... Loser
Jon Stephano said: Utadhani kanguchiro flani hivii. Yani kanabidi Kawe listed kwenye rodents family. Click to expand... Loser
residentura JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 9,531 Reaction score 13,458 Nov 1, 2020 #60 Nakukunda said: Hakuna anayethubutu kuja kwa mitandao ya kijamii kushukuru.Wanajua moto wake... Wakienda mtaani wanakutana na ya Mavunde Hii miaka mitano itakuwa migumu sana kwao Click to expand... Mkuu Nakukunda ,ya Mavunde yapi hayo?
Nakukunda said: Hakuna anayethubutu kuja kwa mitandao ya kijamii kushukuru.Wanajua moto wake... Wakienda mtaani wanakutana na ya Mavunde Hii miaka mitano itakuwa migumu sana kwao Click to expand... Mkuu Nakukunda ,ya Mavunde yapi hayo?