lucas ngoto
Member
- Sep 13, 2013
- 69
- 3
Najuwa watanzania wenzangu mmekuwa na pilikapilika za hapa na pale kwa ajili ya kutafuta riziki pole sana nawatakia usiku mwema
Wengine huku tulipo ndio kwanza jogoo kawika...usiku mwema huko ulipo!!!
he heee watu8 kumbe uko aburodi. kumbe mdogo wangu Heaven on earth alikuwa anahangaika bure kutafuta mtasha. ukirudi uje na hata mmoja kwa ajili yake jameni.
Najuwa watanzania wenzangu mmekuwa na pilikapilika za hapa na pale kwa ajili ya kutafuta riziki pole sana nawatakia usiku mwema