Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,313
- 7,961
Mimi kama kiongozi mwandamizi wa CCWT kwaniaba ya wanachama, tuna cha kusema kwa wanachama wa chama pacha na chetu. Sisi wana CCWT ( Chama Cha Wachepukaji Tanzania) tunatoa pole kwa wenzetu Wapiga Punyeto Tanzania (CHAPUTA) kufuatia agizo la mkuu wao wa mkoa. Tumesikia na kuona kuwa ifikapo juma tatu muwe mmefuta catalyst/vichochezi/ viamba upishi/ pilau /vitendea kazi vyenu. Tunatambua kuwa mnapitia magumu lakini msikate tamaa, kwani hata wanachama wetu walipitia magumu walipofukuzwa Dada zetu na wateja wa sisi CCWT.
Pole zaidi kwa waliokuwa wanazipata kwa kirushiwa kwa Bluetooth na xender maana nyie mtapata taabu sana. Ila wenye bando najua ni mwendo wa online videos tu, na sina shaka na website za kuangalia kwasababu moja ya msingi wa CHAPUTA ni kujua vyanzo vya pilau.
Nasubiri tamko la viongozi wa CHAPUTA kuhusiana na agizo lililopo.