MAGEUZI KWELI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,947
- 253
Sifurahii Maigizo ya Bungeni, sifurahii sera na fkra zinazojengwa na CCM kuwa wao ndiyo bora wengine hawana umuhimu, Siamini Siamini, CCM wangekuwa na sera nzuri wasingepunguzwa Majimbo kwenye Uchaguzi uliopita.
Yale makosa mliyofanya wakati wa kabla ya Uchaguzi Tunashukuru maana sasa mnaongeza hasira kwa Watanzania.
Utendaji wa Rais Magufuli si uhalali wa wabunge kuwa na msingi wa aina moja na yeye. Mtamkoroga na atakosa mwelekeo.
Naipenda Tanzania zaidi kuliko CCM...................