Polen sana manchester united

Polen sana manchester united

isaya mwasetuka

Senior Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
101
Reaction score
23
Hii leo tumeshuhudha machester united ikipoteza mech yao ya tatu(3)mfulizo kwenye EPL kutoka kwa LIVER,MAN CITY na hii leo wamelala kwa bao mbil moja dhd ya westbrom swal je MAN U N WABOVU AU WANASTAHIL POLE ZETU?
 
Baba mwenye nyumba wangu ni shabiki wa Man U...nahofia kutolewa vitu vyangu nikichangia hapa!
 
hii leo tumeshuhudha machester united ikipoteza mech yao ya tatu(3)mfulizo kwenye epl kutoka kwa liver,man city na hii leo wamelala kwa bao mbil moja dhd ya westbrom swal je man u n wabovu au wanastahil pole zetu?

kufungwa kwa man u ndo imekuwa bonge la habari sio.we ulitaka nan afungwe sasa?
 
Hii leo tumeshuhudha machester united ikipoteza mech yao ya tatu(3)mfulizo kwenye EPL kutoka kwa LIVER,MAN CITY na hii leo wamelala kwa bao mbil moja dhd ya westbrom swal je MAN U N WABOVU AU WANASTAHIL POLE ZETU?

Tatizo lako wewe ndugu isaya ni kuwa unakimbia threads zako zinazohusu United. Halafu United haijafungwa mechi tatu mfululizo; ni mechi mbili, City, kisha Albions. Sema tumeshafungwa mechi tatu katika ligi hadi sasa, kati ya mechi 6.

Usiwe unakimbia threads zako aisee...
 
ni hali ya mchezo 2, mambo yatajipa 2 cz kuanza vizur xo hoja, issue n kumaliza vizur
 
Thread inasema poleni na ulichoandika unauliza kama tunastahili pole? vipi wewe sisi hatujafungwa Mechi tatu mfululizo...
 
Ahsanteni kwa kunipa pole Wapendwa,mwenzio akinyolewa we zako tia......? answer urselfs.
 
Bwana mmoja jana ananiambia position waliopo Man U ni kwamba wamewashikia kwa muda Liverpool
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom