kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,649
- 19,042
nilimwomba likizo kwa lugha ya picha yeye akaanduka "banned" badala ya "leave"
pole Dogo.....
nilimwomba likizo kwa lugha ya picha yeye akaanduka "banned" badala ya "leave"
pole Dogo.....
machungu bado ninayo....hata sijui natafutia wapi...?
mke wangu romantic eyes uko wap? nilipotoka kifungoni hukunipa maneno kama haya..
Braza na wewe ulishawekwa selo?
nilipitwa eeh...
pole
Machungu gani tena tcha wangu?
asante DOGO.... ila ban inauma sana bana..