Hiyo Mbinu Yako Inahitaji Mtu Mwenye Moyo Tofauti Na Hapo Unaweza Kuua Mtu Bila Kutegemea. Binafsi Mimi Ni Kheri Nipige Chini Mapema Kuliko Kuendelea Kuumia Moyo kila Siku.ukioa atauliza tu,wakati huo wote humgongi,akiuliza ndo unampa talaka
akibaki inakua tu N.G.O ya kufuga watuAmeshapoteza sifa ya kuwa mke. Kama hatoachika atabaki na sifa ya kuwa mzazi wa watoto na mhudumu wa nyumbani.
Upendo na kuaminiwa havitokuwepo tena.
Nilete barua za maombi ili uniajiri Jojo? [emoji87]Kazi ipoo
hutakiwi kuumia moyo kwa mtu kutumia mwili wake kujifurahisha,tumia akili(fikiri) sio hisia(moyo),moyo hupotezaHiyo Mbinu Yako Inahitaji Mtu Mwenye Moyo Tofauti Na Hapo Unaweza Kuua Mtu Bila Kutegemea. Binafsi Mimi Ni Kheri Nipige Chini Mapema Kuliko Kuendelea Kuumia Moyo kila Siku.
Pole sana, yanaumiza sana haya mamboHakuna ndoa hapo . Ingawa uchepukaji ni pote duniani , lakini ukishaona mama ameshikwa akili namna hiyo ataondoka tu. Mimi yamenikuta [emoji40]
Nadumbukia muda si mrefu nitayaona yaliyomo.
Daaahh, mambo ya kupasha viporo haya.....
Gud, hata mm najisemeaga hivyo, hadi mtu kuchepuka means kuna mahali anaona ww humfiti,hakuna cha shetani wala nn ni mtu kaamua kwa akili zake, mwache aendelee na maisha yake, ukimsamehe jua kabisaa atarudia tuWakuu mimi ni mtata sana ila amini siwezi kumpiga mwanamke nikifumania akiliwa na mwanaume mwingine..
Ningekuwa mimi hapo, kiroho safi kama nimethibitisha kwamba amechepuka
namruhusu tangu siku hiyo akaishi na huyo bwana mimi narudi kufanya mambo yangu.
Yawezekana dudu langu halimkidhi so alikuwa kwangu tu kwa sababu ya ndoa, hivyo nampa uhuru aende kwa huyo anaekimdhi na mimi kiroho naenda kutafuta mwingine wa kuendeleza gurudumu.
aisee habari ya Ara chugaGud, hata mm najisemeaga hivyo, hadi mtu kuchepuka means kuna mahali anaona ww humfiti,hakuna cha shetani wala nn ni mtu kaamua kwa akili zake, mwache aendelee na maisha yake, ukimsamehe jua kabisaa atarudia tu