Pole sana Mzee Kinana Hii ndo SIASA (VERY COMPLICATED)

Pole sana Mzee Kinana Hii ndo SIASA (VERY COMPLICATED)

tangu kinana ameanza kutuhumiwa kuiba pembe za ndovu ...matukio ya ujangili yameanza kupungua .....chunguzeni ...mwaka huu tangu umeanza ....mlinganishe na mwaka jana wakati kama huu
 
Kwa sasa Mzee hakuna sehemu ya nchi hii utakwenda na kusimaa watu wakuelewe na kila utakapoomba wananchi wakuulize maswali UJANGILI ndo litakuwa la kwanza na hautakuwa na majibu sahihi. Na hali ilivyo kwa sasa ccm wakijaribu tu kukutoa katika nafasi hiyo ujue wamehalalisha UJANGILI wako na CCM haitakuwa salama tena. Ukiendelea na nafasi yako kwa kulazimisha ndo CCM haitasimaa mahali popote na kusikilizwa.

Nina mengi Mzee wangu lakini pole sana na hizi ndo siasa halisi. CCM mlizoeza simple politics sasa wanzenu wanafanya complicated politics. Mukama aliko anashukru kikombe hiki kilimpita na sasa anakula kuku japo si saaaana

Wasalam, Mzee Kinana.

hhaha!
kwenye RED inamaana UKITEMA NCHALE, UKIMUMUNYA NCHALE.

Kwenye GREEN:
Hivi umesoma UDOM nini?
yani barua uandike wewe alafu kwenye kusign off uandike jina la uliyemuandikia barua?
 
Aliyenishangaza ni Nchimbi, badala ya kujibu hoja kwa hoja kaishia kurudisha shutuma tu.
Kukana kashindwa pia kukiri kashindwa ili mradi tu aonekane kaongea.
 
Ina maana safari yake kule china alikwenda kuangalia soko la pembe, silaha au yote mawili?

Zile shehena zilidakwa Hong Kong naona alienda kufanya mazungumzo ya kuzinasua na serikali ya uchina.
 
No way out,spika angemwambia Msigwa athibitishe ila yaonekana Bi mkubwa anajua kila kitu na walipanga Mtetezi na mlinzi wa watoa kucha Nchimbi atoe Mapoovu..4 that context Kinana amethibitika kuwa ni JANGILI yafaa WAMFURUSHE.

Hivi ameshajibu Nchimbi?
Nadhani kama walimwacha Msigwa akaongea mpaka mwisho bila poo....basi hata CCM watakapokuwa wanajibu poo haitakuwepo...na ninategemea wote tutafurahi kama tulivyofurahi leo kwamba poo haikuwepo..
 
Wana JF,

Napenda kutoa pole kwa Mzee wetu Kinana Katibu Mkuu wa CCM kwa yale yaliyomkuta leo hapo bungeni. Ni ukweli usio fichika kuwa hata yeye alikuwa anachosubri ni suala la muda tu ili maovu yake yaweke hadharani kama alivyofanya Mh. Mch Msigwa leo. Biashara unayofanya Mzee sijui ni nani alikushauri urudi katika ulingo wa siasa kwa muda huu pole sana. Lakini kama uliamua kwa mapezi yako na si kwa kushauriwa na mtu yeyeote basi poa kubali matokeo. Kwa hali ya siasa hapa nchini kwa sasa bila shaka kabla hujachukua uamuzi wa kuingia kwanza jichunguze mwenyewe kabla ya kuchunguzwa otherwise matokeo yake ndo hayo.

Siasa za TZ zimefikia wakati si tena Kidumu chama cha Mapinduzi au CCM oyeee!. Wananchi wa sasa si wale wa kipindi kile mlikuwa mnafanya mnavyotaka na mambo yanakuwa shwari. CDM wanahitaji kuingia Magogoni na kila dalili zinaonekana kwa hali ya Siasa inavyokwenda sasa hivi. Kwa mfano kila chaguzi zinazofanika sasa hivi CCM imekuwa inashindwa tena kwa mbali na ni hukohuko vijijini ambako niyi kwa fikra zenu huko ndo kwenye mtaji wenu. CCM mlitegemea suala la kuwaita CDM magaidi ingeweza kuwasaidia japo kwa kupunguza kasi kubwa ya cdm kwa sasa lakn matokeo yake CDM ndo inazidi kupendwa kila kukicha.

Kwa sasa Mzee hakuna sehemu ya nchi hii utakwenda na kusimaa watu wakuelewe na kila utakapoomba wananchi wakuulize maswali UJANGILI ndo litakuwa la kwanza na hautakuwa na majibu sahihi. Na hali ilivyo kwa sasa ccm wakijaribu tu kukutoa katika nafasi hiyo ujue wamehalalisha UJANGILI wako na CCM haitakuwa salama tena. Ukiendelea na nafasi yako kwa kulazimisha ndo CCM haitasimaa mahali popote na kusikilizwa.

Nina mengi Mzee wangu lakini pole sana na hizi ndo siasa halisi. CCM mlizoeza simple politics sasa wanzenu wanafanya complicated politics. Mukama aliko anashukru kikombe hiki kilimpita na sasa anakula kuku japo si saaaana

Wasalam, Mzee Kinana.

Ukiona watu kama Kinana wako kwenye nyadhifa za juu za chama cha magamba, ni lazima uelewe ya kuwa chama chenyewe kimeoza kupita kiasi.

Haiwezekani wanachama wenye misingi ya nidhamu kuwa na kiongozi waliyemchagua wenyewe asiye na nidhamu, na washindwe kumwadibisha. Kuchaguliwa kwake kwenye nafasi aliyopo na kuendelea kukumbatiwa na hao waliomchagua kunaonyesha uozo mkubwa unaonuka uliomo ndani ya ccm na serikali iliyoko madarakani. Wahenga walisema, la kuvunda halina ubani!

Ukweli utabaki kuwa ukweli, mafisadi, wezi, wahuni ndiyo wenye dhamana ya kuliongoza taifa letu. Uamuzi mgumu lazima ufanyike ili tuwaondoe kabisa watu hawa tupate timu mpya kabisa yenye nidhamu na mapenzi ya kweli kwa nchi yetu. La sivyo, hata akiondoka Kinana leo hatutapona... atakuja mwingine, na mwingine...

Chenge si aliondoka, Lowassa si aliondoka, mbona bado kuna watu wanaendelea kumpigia saluti na hata kudiriki kumpa cheo asichostahili eti 'Waziri Mkuu Aliyestaafu...'

Katika kamusi ninayoijua mimi kujiuzulu kwa ufisadi na kustaafu ni vitu viwili tofauti sana.

Kitaeleweka!
 
Msomali huyu ni hatari kwa ustawi wa Taifa letu

Huyu msomali alikwisha tangaza kuwa alikuwa anastaafu kutoka kwenye siasa za magamba ; in no time tukasikia ameshawishiwa kurudi ulingoni na kuwa katibu mkuu wa ccm!! Waliomshawishi kurudi kwenye siasa hawakuwa na amani nae bali walikuwa wabaya wake waliotaka aumbuke ili asifurahie ulaji wa mali alizotuibia!!
 
Ni jambo la kushangaza ilioje eti kwa kuona CCM sura iliyobora kukiwakilisha mbele ya jamii lazima tu awe ni huyu huyu Abdulrahman Kinana????

Kila mwana-CCM yeyote atakapopanda jukwani kupiga siasa swali lisilokwepeka kwa kila mmoja wenu ni
UJANGILI KATIKA MBUGA ZETU na sababu za CCM kujiingiza katika kufanya biashara ya gesi na mafuta kule Lindi na Mtwara.

Kazi nzuri sijapata kuona Mch Msigwa kama ulivyoifanya kule bungeni na kuweka hadharani majangili wote!!!!!!!!!! Mambo yamebana sana kwa CCM; si mijini si vijijini hivyo wabunge watakaorejeshwa si zaidi ya 97 kwao!
 
Kinana ni jangili la kimataifa..Only in Tanzania....
 
Usijaribu kukoment nyakati za ijioni ambapo mazombie ya DJ yashapitia kwenye danguro kupata ofa ya viroba utaambulia matusi tu
 
Jf kuna raha kweli,
tusker = kinana a
ndovu = kinana b
ukiita hivyo nadhani hata kama hakuna jokofu kitu lazima kiwe bariiidi.
 
Back
Top Bottom