swagazetu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 4,250
- 1,467
Kwa matokeo ya kidato cha nne serikali imeona matokeo ya kuwakandamiza waalimu kwa kuwanyima mishahara ya kukidhi mahitaji yao.
Elumu bure haiwezi kufanikiwa kwa namna serikali inavyowachukulia waalimu.mwalimu anakanamizwa kwa kushinikizwa kufanya kazi muda mrefu kwa malipo kiduchu ikiamini elimu itapanda na wanafunzi kufaulu na kupata elimu bora.kwa sasa mwl wa shule ya msingi anafundusha watoto 400 darasani mshahara 277,000 unategemea ufaulu.Na kwa kasi ya wanafunzi kujiunga darasa la kwanza ni kubwa na baada ya miaka saba mwl wa secondari atafundisha drs ka watoto 490-500 halafu serikali itegemee elimu bora.
Baada ya muda hali itakuwa mbaya zaidi.Pesa itabaki kuwa ni mchawi wa kila kitu, hatimae kwny elim imekuwa pesa ndio kila kitu, bila kulipa ada mamilioni basi mtoto wako kupata elimu bora ni ndoto ya mchana. Hebu tazama nafasi za shule hpa chini
TOP 10 TAIFA CSEE 2015
1.Kaizirege(private)
2.Alliance girls(private)
3.St.Francis girls(private)
4.Alliance boys(private)
5.Canossa(private)
6.Marian boys(private)
7.Alliance rock army(private)
8.Feza girls(private)
9.Feza boys(private)
10.Uru seminary(private)
HUKU SHULE ZETU ZA VIPAJI MAALUMU TUNAZOZIAMINI ZIKISHIKA NAFASI ZIFUATAZO;
Ilboru- 53
Kibaha- 69
Mzumbe-71
Tabora boys-124
Kilakala-94
Tabora girls-123
Msalato-148
TAFAKARI PELEKA MTOTO PRIVATE