Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,212 Reaction score 16,915 Dec 12, 2016 #61 PNC 1 said: Kwani Messi anacheza Rugby ? Click to expand... always shabiki wa mpira kwenye ukweli anaongea ukweli kwenye ushabiki anaweka ushabiki Messi kaifunga Argentina goli tatu then what next?? kimataifa ana nini baada ya hiyo hat-trick?
PNC 1 said: Kwani Messi anacheza Rugby ? Click to expand... always shabiki wa mpira kwenye ukweli anaongea ukweli kwenye ushabiki anaweka ushabiki Messi kaifunga Argentina goli tatu then what next?? kimataifa ana nini baada ya hiyo hat-trick?
Iceman 3D JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 20,611 Reaction score 67,118 Dec 12, 2016 #62 Mankey Snipes said: always shabiki wa mpira kwenye ukweli anaongea ukweli kwenye ushabiki anaweka ushabiki Messi kaifunga Argentina goli tatu then what next?? kimataifa ana nini baada ya hiyo hat-trick? Click to expand... Hana kitu chochote PNC 1 hawez ku admit
Mankey Snipes said: always shabiki wa mpira kwenye ukweli anaongea ukweli kwenye ushabiki anaweka ushabiki Messi kaifunga Argentina goli tatu then what next?? kimataifa ana nini baada ya hiyo hat-trick? Click to expand... Hana kitu chochote PNC 1 hawez ku admit
PNC JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 8,105 Reaction score 14,356 Dec 12, 2016 #63 Mankey Snipes said: always shabiki wa mpira kwenye ukweli anaongea ukweli kwenye ushabiki anaweka ushabiki Messi kaifunga Argentina goli tatu then what next?? kimataifa ana nini baada ya hiyo hat-trick? Click to expand... Mkuu mara ngapi nimekwambia ukiandika uwe unatulia na kufikirisha ufahamu Sasa ni lini Messi aliifunga Argentina ? Hebu tuanzie hapo
Mankey Snipes said: always shabiki wa mpira kwenye ukweli anaongea ukweli kwenye ushabiki anaweka ushabiki Messi kaifunga Argentina goli tatu then what next?? kimataifa ana nini baada ya hiyo hat-trick? Click to expand... Mkuu mara ngapi nimekwambia ukiandika uwe unatulia na kufikirisha ufahamu Sasa ni lini Messi aliifunga Argentina ? Hebu tuanzie hapo
PingIdea JF-Expert Member Joined Jan 24, 2015 Posts 363 Reaction score 183 Dec 12, 2016 #64 nkuwi said: tehetehetehetehetehe nimuulize nani?? vardyyyyyyyyyyyyy [emoji460] [emoji460] [emoji460] kocha mpenda miteremiko kama alivyo andunjee! Click to expand... Muulize Manuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] 3-1
nkuwi said: tehetehetehetehetehe nimuulize nani?? vardyyyyyyyyyyyyy [emoji460] [emoji460] [emoji460] kocha mpenda miteremiko kama alivyo andunjee! Click to expand... Muulize Manuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] 3-1
Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,212 Reaction score 16,915 Dec 12, 2016 #65 PNC 1 said: Mkuu mara ngapi nimekwambia ukiandika uwe unatulia na kufikirisha ufahamu Sasa ni lini Messi aliifunga Argentina ? Hebu tuanzie hapo Click to expand... endelea kujitoa ufahamu computer inakosea ntakuwa mimi ninae andika kwa mikono(kaifungia)
PNC 1 said: Mkuu mara ngapi nimekwambia ukiandika uwe unatulia na kufikirisha ufahamu Sasa ni lini Messi aliifunga Argentina ? Hebu tuanzie hapo Click to expand... endelea kujitoa ufahamu computer inakosea ntakuwa mimi ninae andika kwa mikono(kaifungia)
M mama kubwa JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 6,568 Reaction score 10,624 Dec 13, 2016 #66 Du kina Shigongo wako wengi.