Pole sana Messi

Mbona umepanik mkuu[emoji2] [emoji2] [emoji2]

Ndio matatzo ya mashabiki wa mmoroco
hahahahhaha sijapaniq mkuu kuna f@la mmoja hapo juu amekuja anacheza rede mbele yangu alafu amevaa msuli tu, sasa mm hizo mishe sipo!
 
Swali kutoka kwa anayejiita mfuatiliaji wa mpira [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Kwani alipoifunga Brazil Hatrrick hajaitetea?

Rekebisha swali vizur
Oya uzi wangu pendwa barca siuoni
Ay mmeukacha
 
Reactions: PNC
Kwani Uefa ni national trophy
uefa haina tofauti na CLUB BINGWA AFRICA, hata Samatta na Ulimwengu thomas wanalo hilo kombe!

najua unajua namaanisha nini,

Timu ya taifa. copa america & world cup!
 
alikuwa anacheza peke ake??
 
KILELENI
 
Tofautisha club international trophy na international trophy

Mbona mashabiki wa Messi hamjui mpira hivo!!!
Wanafanya kusudi. Wanaambiwa hata Sanchez kabeba trophy, Mess hamna. Hawataki.
 
Pep ndo usimguse hiyo ni habari nyingne unazungmzia kocha bora kuliko wote ulimwenguni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] EPL mpaka sasa yuko vzr kama unabisha waulize wakongwe wa ligi watakwambia
Pep wa la liga sio huyu wa epl.
 
Swali kutoka kwa anayejiita mfuatiliaji wa mpira [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Kwani alipoifunga Brazil Hatrrick hajaitetea?

Rekebisha swali vizur
Hiyo red inatosha kuonesha wewe si shabiki wa mpira bali ni shabiki wa Messi

na hiyo blue rekebisha mwenyewe na ujijibu mwenyewe maana unataka kuulizwa maswali ambayo majibu yake unayo kichwani
 
Namkubali sana Messi ila kwa uzi huu na baadhi ya wachangiaji nimebaki nacheka tu
 
Hiyo red inatosha kuonesha wewe si shabiki wa mpira bali ni shabiki wa Messi

na hiyo blue rekebisha mwenyewe na ujijibu mwenyewe maana unataka kuulizwa maswali ambayo majibu yake unayo kichwani
utakesha mkuu kusemezana na msukule wa messi,
yeye yupo tayari hata barcelona ipoteze hata mechi ila messi apige chenga, kanzu & tobo roho yake inakuwa nyeuuupeeeee kwa raha zake!
 
Sio MTU wa mchezo mchezo Bwana
 
Reactions: PNC
Hiyo red inatosha kuonesha wewe si shabiki wa mpira bali ni shabiki wa Messi

na hiyo blue rekebisha mwenyewe na ujijibu mwenyewe maana unataka kuulizwa maswali ambayo majibu yake unayo kichwani
Kwani Messi anacheza Rugby ?
 
utakesha mkuu kusemezana na msukule wa messi,
yeye yupo tayari hata barcelona ipoteze hata mechi ila messi apige chenga, kanzu & tobo roho yake inakuwa nyeuuupeeeee kwa raha zake!
Nimeijua Barcelona kabla ya Messi Ronaldinho Kluivert Saviola na hata huyu Enrique kabla ya Figo kutusaliti na hata hatumtegemei Rivaldo

Kwa niaba ya washabiki uchwara wenzio ni hivi
Barcelona niliamua kujiunga nayo baada ya kumsajili Maradona kwa dau nono lililotisha kipindi hiko

Sasa kuanza kushabikia mpira 2012 usijione wajua kila kitu

Sisi(barca) na fact zetu nyie(haters) na porojo zenu

[HASHTAG]#Asante[/HASHTAG]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…