Pole sana Messi

Haya mawazo mfu alikuwa nayo pia PEP GURDIOLA kabla hajahamia EPL,

Muulizee sasa hivi ndio atakwambia hali halisi!

acheni maneno mingi, wekeni internation trophy ya messi hapa tuione basi???
Pep ndo usimguse hiyo ni habari nyingne unazungmzia kocha bora kuliko wote ulimwenguni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] EPL mpaka sasa yuko vzr kama unabisha waulize wakongwe wa ligi watakwambia
 
Reactions: PNC

Mkuu nkuwi....Ronaldo alicheza dakika ngapi na kutoka??

Nani aliyeipatia portugal goli la ushindi na kufanikiwa kubeba ndoo?

Portugal imeleta goli wakati huo Ronaldo alikuwa wapi?
 
Haya mawazo mfu alikuwa nayo pia PEP GURDIOLA kabla hajahamia EPL,

Muulizee sasa hivi ndio atakwambia hali halisi!

acheni maneno mingi, wekeni internation trophy ya messi hapa tuione basi???
Kungwi, mbona unachechemea kimaadili dadaangu?

International na sio internation. Halafu next time ukiandika jina la mtu nguli wa soka anza na herufi kubwa, sawa. Haya, twende kwenye swali la msingi, hapo kwenye bold. Kwa uelewa wako na wanaokushikia akili, Ballon d'Or sio INTERNATIONAL?

Hiyo ndio Highest FIFA Individual Player Award. Achana na kombe la dunia ambalo hata ndezi kama wewe unaweza kuosha jina kwa kuwepo kwenye timu. Nikukumbushe kuwa Mikel Sylivester alishabeba Champions League wakati Gianfranco Zola hakuwahi.
 
Reactions: PNC
Safi....Iko poa sana tu....
 
Reactions: PNC
sina muda wa kupoteza kujibu sh[emoji15] oga!

mjadala hapa ni trophy sio awards!

hiyo bold errors ya kawaida kwenye typing

last & ever
 
kuna tofauti kubwa kati ya senior (sr) na junior (jr) sawa ndugu, Messi tumemjua huku kene senior timu na sio junior timu mafanikio akiwa u23, u21 au u18 hata Andre Dede Ayew wa Ghana anayo
Asante kwa kuthibitisha kuwa mpira umeujulia ukubwani

Halafu jifunze kuandika huku {kene} ndio lugha gani?

Messi wapenzi wa soka tumemjua toka anasajiliwa La masia
Na huo utofauti wa senior na junior ndio upi ?

Au senior wanacheza Football junior Basketball?
 
Pep ndo usimguse hiyo ni habari nyingne unazungmzia kocha bora kuliko wote ulimwenguni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] EPL mpaka sasa yuko vzr kama unabisha waulize wakongwe wa ligi watakwambia
tehetehetehetehetehe nimuulize nani?? vardyyyyyyyyyyyyy [emoji460] [emoji460] [emoji460]

kocha mpenda miteremiko kama alivyo andunjee!
 
Messi kaitetea Argentina kwenye mashindano gani ya kimataifa ukiachana na timu za u23?
Swali kutoka kwa anayejiita mfuatiliaji wa mpira [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Kwani alipoifunga Brazil Hatrrick hajaitetea?

Rekebisha swali vizur
 
Mkuu nkuwi....Ronaldo alicheza dakika ngapi na kutoka??

Nani aliyeipatia portugal goli la ushindi na kufanikiwa kubeba ndoo?

Portugal imeleta goli wakati huo Ronaldo alikuwa wapi?
iwe alicheza dakika moja ama mbili haiondoi ukweli kuwa cr7 ana UEFA-EURO 1.
 
tehe tehe tehe hili povu ndio nilikuwa nalisubiri!

hatuzungumzii junior teams hapa, tunazungumzia mafanikio ki-internationally zaidi!

andunje amezidiwa hadi na alexis sanchez wa arsenal
Hivi olympic ingekuwa junior Neymar angeshiriki?

Messi kachukua Balon dor akiwa na 22 kwa hyo alikuwa junior hvo haihesabiki?
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] Viva Barcelona
 
Haya mawazo mfu alikuwa nayo pia PEP GURDIOLA kabla hajahamia EPL,

Muulizee sasa hivi ndio atakwambia hali halisi!

acheni maneno mingi, wekeni internation trophy ya messi hapa tuione basi???
Kwani Uefa ni national trophy
 
Kombe la watoto hilo
 
Reactions: PNC
sina muda wa kupoteza kujibu sh[emoji15] oga!

mjadala hapa ni trophy sio awards!

hiyo bold errors ya kawaida kwenye typing

last & ever
Mbona umepanik mkuu[emoji2] [emoji2] [emoji2]

Ndio matatzo ya mashabiki wa mmoroco
 
Nitajie mchezaji aliye wahi ingia hata 30 bora ya FIFA kwa kuchukua kombe toy yaan kombe la watoto
 
Kalichukua au kachukuliwa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…