lakini mbona kama makosa yake ni yakupaka sana, na ni kwanini wamshtaki kipindi hiki?hahaha
Malinzi mpaka akaje kuisoma hii msg yako
ni baada ya miaez kana 6 hivi akitoka jela.
ila wizi alizid na yeye ki ujumla alikuwa kiongozi mbovu
Mhh kaka yaliyomo yamo! Nitumie picha ya wahenga kama unayompwa, ni kweli huyu jamaa yetu aliosha pesa?
uchunguzi ulikuwa bado hauja kaa vzurilakini mbona kama makosa yake ni yakupaka sana, na ni kwanini wamshtaki kipindi hiki?
Unafaa sana kuunganisha ktk kesi na ndugu yako Malinzi mkajidilianeni vizuri behind bars.Mambo ya kibongo ni ya hovyo hovyo sana, huyu jamaa yetu Jamali Malinzi rais wa TFF anafanyiwa zengwe la kutosha...
Mkuu nakujua sana wewe ni member mzuri hapa jukwaani, endapo utapata fursa ya kusoma uzi huu. Fanya hivi...
Waachie MTFF wao hapo!!
Hiyo mambo ikiisha achana na soka la kibongo, ni mbaya sana kuendeshwa kisiasa...
Wabongo na Wanamichezo wengi wametanguliza maslai yao binafsi mbele.
Hili likipita achana na hii mambo na jishughulishe na biashara zako master.
Pokea salamu zangu za dhati kupitia jukwaa hili...nilisikitika sana kukuona comrade ukipanda kwenye ule m'basi mkubwa wa kijani...Ndiyo hivyo pengine kuna wanaodhani huko TFF kuna maslai mapana, ninachoamini hawatakufunga na endapo watakufunga itakuwa ni fitna tu!!
Fitna zinamwisho na ukweli utasimama.
Piga moyo konde Mkuu...
Wasalamu.
CC: Asprin
Kuna haja ya kuanzisha tag humu...[HASHTAG]#leaveMalinzialone[/HASHTAG]...
[HASHTAG]#freeBishanga[/HASHTAG]...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] i gugo tu kaka...
Mkuu kumbe hauna uhakika kama ametenda kosa au vipi...Basi acha vyombo vya dola vifanye kazi yakempwa, ni kweli huyu jamaa yetu aliosha pesa?
kwa jinsi zile risiti zilivyokaa vibaya,sidhan kama anapakutokea. Uovu wake ulishajulikana siku nyingi ila watoto wa mjini walikuwa wanamlia timing, Hata yule jamaa wetu wa chattle,2020 sio mbali [HASHTAG]#fitnainatabiayakukurudia[/HASHTAG]Sawa mkuu...ngoja tuone