Pole sana dada

Yani kwa hapo huyo bint amekosea ange deal na wazazi sio mtoto,na hakulazimishwa kazi ukiona sehemu kuna mateso unaondoka atakua ana mamtatizo ya akili sio bure.....
 
Mkuu hii kitu inaniuma sana

Binadamu tumefikia kiwango cha hatari sana cha kuona kama sisi ni binadamu lakini wengine asio binadamu .....

Aaaaaaahhhhh ......!!

Mimi umenifurahisha kwa walau kujaribu kutenda haki kwa kuangazia na upande wa pili.

Super big up.
 

I can vouch for that!

Nimeshashuhudia wadada wa kazi wakinyanyaswa sana na mabosi wao (baadhi ya ndugu zangu).

Unakuta jitu nene limekaa linaangalia tamthilia halafu eti hata maji ya kuoga linataka lichemshiwe na liwekewe bafuni.

Like seriously?
 
Dude, kuna video ingine binti anamfanyisha katoto ka kiume matendo machafu machafu hadi kichefu chefu. Huyo nae aliteswa akapata nyege za kukifanyia kitoto kichanga ufuska kama ule?

Unaposema dada hakuwa kichaa una maana vichaa ni akina nani? wanaotembea mtaani? walio spitali wamefungwa chains ama unaongea ukibase on just one type of insanity.

We have to accept blame when we are wrong and strive to change things.... this blame shifting games wont land us anywhre.

By the way, as long as am paying you decently and treating you right, I am under no obligation to go the extra mile. Thats a job like any other.

P/s. Sorry if it appears am furious but kama nilivyosema kwenye thread yangu binti alimtishia mwanangu kumchinja na kisu silu ya nne kazini. Mfano silumsilia? Na hapo sijamsema acha kumnyooshea kidole.
 
chochote kile haki-justify kitendo alichofanya yule dada.....kama aliona mateso yamezidi angeondoka,wapo madada wengi tu wanateswa mwisho wanatoroka au wanaomba kuondoka.....kitendo alichofanya ni cha kinyama na anastahili adhabu kali.

Najua na nimelisema hilo kuwa hakuna kitendo ambacho kinahalalisha alichofanya huyo dada.lakini tatizo latu mara nyingi tunaangalia tulipoangukia na sio tulipojikwaa,inawezekana kabisa huyu dada kilichomfanya akafanya haya ni matokeo ya mateso,yes inawezekana alitakiwa kuondoka tu,je unajua kama hata njia ya kwao anaijua?

Kuna wadada wengine wanachukuliwa huko na kuja kupatiwa makazi kama haya na wanakuwa kama wapo kisiwani tu na hawana cha kufanya,lakini pia hata kama kingekuwepo cha kufanya kwa maana ya kuondoka,yule dada ni binadamu kama wengine,ukifanyiwa ubaya na ukatili kunakuwa na hali ya kutamani kisasi,hiyo ni kawaida kwa binadamu,mara nyingi huyu dada aaliona hawezi kuwaadhibu waajiri wake [kama walimfanyia ubaya] na aliona mnyonge wake ni huyu mtoto masikini ya Mungu]

Huyu mtoto anakuja kuwajibika kwa makosa ya waajiri wake,binti akaamua kumfanya alivyofanya,lengo langu sio kumuondoa huyu binti hatiani bali kujaribu kuangalia wengine ambao walisababisha hili tukio kwa namna moja au nyingine nao kuwajibika na sio kumfanya huyu binti mbuzi wa kafara na kumfanya ndio shetani kuliko shetani mwingine ambae anazunguka tu kwa raha zake na ndio aliyesababisha kwa hakika tukio hili!
 
chochote kile haki-justify kitendo alichofanya yule dada.....kama aliona mateso yamezidi angeondoka,wapo madada wengi tu wanateswa mwisho wanatoroka au wanaomba kuondoka.....kitendo alichofanya ni cha kinyama na anastahili adhabu kali.

No one is trying to justify it, at least not Eiyer.

But at the same time it would be remiss to ignore the fact that most of those maids are maltreated by their bosses.

So if we are going to condemn the cruelty of the maids let's also condemn in equal measure, the cruelty of the bosses.

It's only fair.
 
Last edited by a moderator:
Mbona kauli na thread yako inaonesha kuhalalisha alichokitenda huyo mdada wa kazi?

Oa uzae halafu uwe na uhitaji wa maid tuone kama utawaita pumbaf watakaomlaumu maid wako akimuambikiza ukimwi kwa makusudi your lil Junior
 
Kulaani kitendo alichofanyiwa innocent victim ni reaction ya kibinadamu.
Sawa .....
kujiuliza how na why inakuja baadaye sana. Na kama wewe ambavyo umeamua kubase upande wa msichana wa kazi mimi na wengine wengi tumeamua kujikita kwanza kwa innocent victim.
Tatizo la kwanza linaonekana hapa,sijabase kokote ila nataka kila mmoja alione tatizo kwa mapana yake

Binti awajibike kwa tatizo lake na kama hao waajiri wa huyo binti wana matatizo yao na kimsingi kama yapo ndio yatakuwa chanzo basi nao wawajibike kama binti anavyowajibika kwa kupakwa matope na kuonekana kama sio binadamu
Tunazo facts mezani ambazo ni mtoto kateswa kwa vipigo ambavyo ni vya kuua. Na pia reaction ya mzazi baada ya kukutana na hiyo fact, kweli mzazi aligeuka mnyama pia lkn nani asingegeuka mnyama kwa hali ilivyokuwa?
Kutokuwepo kwa mtu ambae asingekuwa mnyama hakuhalalishi unyama alioufanya huyo mwajiri wake na inawezekana tatizo limeanzia kwake ...
speculation ni kuwa binti ameteswa sana na kuamua kumalizia hasira zake kwa mnyonge (innocent victim ). Je ni njia sahihi kufanya aliyoyafanya?
Sio njia sahihi na ndio maana nimesema kuwa sheria ichukue mkondo wake,lakini ni kwanini hamjadili kama aliteswa huyo mtesaji nae achukuliwe hatua?
wanaokutwa na hali kama hiyo hufanya nini? Kwanini asiondoke au asiende police?
Swali hili muulize huyo mwajiri wake kuwa baada ya kuona hilo tukio ni kwanini asingeenda polisi na akaamua kujichukulia sheria mkononi?
Suala la kumalizia hasira waliodhaifu kuliko wewev sio jema kabisa. Nakumbuka mama alishanipiga sana kisa ameudhiwa na mama mkwe wake na wifi zake, of recent nilimkumbushaa au umeudhiwa kazini unakuja mpiga mkeo sio fair.
Sawa lakini pia waliolianzisha nao wachukuliwe hatua ...
Anger management inahitajika kwa watu wengi. Yes binadamu anaweza kuwa shetani inahitaji trigger ndogo tu. So yule binti jwa wakati ule alikuwa shetani, na baba mtoto alikuwa shetani pia.
Sawa .......!!
 

THATS A NO-BRAINER....but what about those maids who are not mistreated but still end up abusing toddlers???
 
THATS A NO-BRAINER....but what about those maids who are not mistreated but still end up abusing toddlers???

Then they are what they are, period, end of sentence.

I'm all about fairness.

*Please, instead of toddlers let's use (young) children*
 
Nlichangia katika uzi uliopita kuwa lazima watu tufikirie nje ya box kwa tukio hili na pia kujifunza haswa tukiangalia hali halisi..ila wakurupukaji wakatukana sana,wanakuambia hata kama binti alikuwa anateswa ila hakutakiwa kumfanyia mtoto vile,sasa unajiuliza kama unakiri kuwa hata kama alikuwa anateswa ila hakutakiwa kufanya vile,ulitaka aweke sumu kwenye chakula au apige nyumba nzima kiberiti akiwa amefunga milango usiku auwe wote sasa??...nikupongeze mtoa mada na wengine kwa kuliangalia hili kwa mapana yake,watu wengi wenye fikra fupi huamua jambo kwa kuangalia matokeo badala ya mzizi wake...bado nasema siungi mkono kitendo chochote cha uhalifu dhidi ya binadamu..
 
Pamoja na haya uliyosema bado unamuweka mwajiri kwenye hatia,mwenye jukumu la kukagua ni mtu wa aina gani anamuajiri ni mwajiri na sio mwajiriwa,kama utaajiri kichaa wewe iliemuajiri ndio unapaswa kuanza kupatiwa kibano kabla ya huyo kichaa uliemuajiri

Dada niliyeweka kisa chake kwenye mada nimemtumia kama back up tu na sio sababu ya kuhalalisha klitendo cha huyu dada
Kesi hii ni kesi ambayo nayo ina historia yake,kuishi vizuri na hawa wadada sio kuwapa chakula na malazi tu,unatakiwa uwe rafiki yake na ujaribu kuwa kama mama,dada au hata rafiki yake wa karibu sana ili uweze kuzungumza nae na aweze kukuambia shida zake nyingi

Hawa watu wanatoka kwenye mazingira ya aina tofauti sana,kitendo cha kumuacha na mwanao,akufulie,akupikie na mengine kama hayo ni mambo muhimu sana ambayo yanapaswa kufanywa na mtu muhimu sana,huyu sio wa kudharau hata kidogo!
 

huyo binti ni mkatili tu.....wapo wengi wa aina hio wana abuse watoto bila yao wao kuteswa na wana familia, maids ni watu kama sisi kuna wakatili na wema huyu ni KATILI I CALL HER MNYAMA.....nimelelewa na madada hawa na nawapenda na kuwaheshimu ila huyu ni mnyama....ukatili wa wazazi hauwezi kumsukuma binadamu wa kawaida kumuadhibu mtoto yule kiasi hiki....ange revenge kwa wazazi in one way or another ningeweza kuelewa hio kulipiza kisasi lakini kwa kale katoto,ni ukatili tu.
 
siku zote shida kubwa huja kwa njia tunayotumia kutatua tatizo, maana hiyo huwa tatizo kubwa kuliko la awali

Bora umeliona hata hili!
 

Eiyer umesema 'kama yapo' maana yake hatuna uhakika ni speculation tu. Tufanyie kazi speculation? Ilhali kuna some ugly facts tayari.

Of course sheria itafuata mkondo na ndio maana kuna wanasheria wa serikali.

Wito ambao ungeutoa ni kuwe na ngo ambayo inafuatilia kwa karibu maslahi na haki za wadada wa kazi. Au hata desk police kama ilivyo kwa desk la gender violence.. lkn kumtetea binti kwa assumption kwa kitendo kile ni kitu ambacho binafsi sikiungi mkono.
ungekuwa mmama mwenye watoto na unapata adha ambayo watu wanaipata kidogo ningekuelewa
 
Yani kwa hapo huyo bint amekosea ange deal na wazazi sio mtoto,na hakulazimishwa kazi ukiona sehemu kuna mateso unaondoka atakua ana mamtatizo ya akili sio bure.....

Sio wasichana wote wanao teswa na Wenye nyumba hufikiri kwa haraka bora waondoke! Wengi wao kutokana na shida walizo nazo wanaona bora wabaki lakini kama tujuavyo binadamu muda mwingine tunakuwa kama wanyama hivyo nao wanahamua kuwafanyia watoto wetu!

Mtoa mada ana lengo la kutufanya tufikiri upande mwingine wa waajiri wao na ni wangapi huwatendea vyema hawa watoto wa watu tunao waleta watusaidie kazi zetu?

Kwakweli huyu Dada wa Uganda amepitiliza na amefanya kitendo cha kikatili sana na hakikubaliki kabisa!

Lakini Mimi nataka tujaribu kufikiri nje ya haya yaliyo tokea maana unaweza kutwa liteswa sana ndio akaona na yeye amalize hasira zake japo hili halikuwa suluhu!
 

Mkuu kuna wababa wengine ni wakatili kuliko hata wamama

Wanawabaka na kuwaingilia kinyume na maumbile hawa mabinti tena bila ridhaa yao .....

Ni hatari mkuu .....!!
 
Yani kwa hapo huyo bint amekosea ange deal na wazazi sio mtoto,na hakulazimishwa kazi ukiona sehemu kuna mateso unaondoka atakua ana mamtatizo ya akili sio bure.....

Unadeal vipi na mtu mzima mwenzio ambae pengine hata kumsogelea tu uongee nae neno moja tu unatakiwa ujipange wiki nzima??
 
So me being me, I'm curious now....

Huyo dada naye keshasema ya upande wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…