Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,711
- 149,960
Kibanga Ampiga Mkoloni leo ameleta uzi wenye ushauri mzuri sana kwa serikali ulioandikwa na mkazi mmoja wa Dar-es-salaa ukiwa katika lugha ya kingereza.
Hata hivyo, huwezi amini kuwa uzi ule umepata wachangiaji wawili tu licha ya ukweli kuwa uzi husika umebeba mawazo ambayo naweza kuyaita ni "constructive criticism" kwa wataalamu wetu pamoja na wanasiasa wetu(watawala).
Nashauri uongozi wa JF ifike mahali watumie mamlaka yao ku-select baadhi ya thread ambazo kwa mtazamo wao(na bila shaka utakuwa mtazamo wa wengi) wanaona thread husika ina manufaa kwa nchi na hivyo waiweke "sticky" ili ujumbe uwafikie watawala au wahusika wengine bila kujali kama member wa JF wana-interest na uzi huo au laa.
Hali hii ni ushahidi tosha ni kwanini magazeti ya udaku yanauzika sana hapa Bongo kuliko magazeti yanayoandika habari za kisiasa,kiuchumi na kijamii.
Pia huh ni ushahidi mwingine ni kwanini watanzania wengi hawapendi kuangali taarifa za habari na badala yake ni wapenzi zaidi wa vipindi vya michezo na maigizo.

Last edited: