Lengo letu ni ushindi kama wengine,ila tunaposhindwa inabidi tukubali jamani,na wala matatizo ya moyo hayatupati coz bado tuna imani na wenger!one day yes!
Ni bora nishabikie Abajalo,Sifa United au Faru Dume maana najua zinaweza zikabeba kombe la Kinesi...
Huyo babu hana jipya tena....yaani wakiweka Jiwe na Arsenal, nipo radhi nishabikie Jiwe.