Pole Mstaafu Jakaya Kikwete

Mkuu Mshana hawa viongozi kama akina Jakaya ,huwa hawawazi negative wana nawaza postive ,saiv anawaza hiyo chance ya kuwa peke yake ataendeleza vipi atakao wa acha.Bila shaka akiwaza waliokuwa marafiki zake wametangulia haitamsaidia kwa chochote.
 
Mbona Kikwete alimfanyia ubaya huyu mmasai , na mmasai ameugua sana lakin Kikwete hakufika kumjulia hali😛ole mpe lands Kwa ajili ya mzee Mwinyi ambaye alimfikisha hapo alipo. Lakin sio mmasai.
 
"Huna tena mtu mliyeshiriki aina moja ya majukumu makubwa ya Urais ambaye yuko Hai.. Hata rafikiyo kipenzi EL naye kalala"!
Kumbe EL naye aliwahi kuwa rais! Naona kama vile umelazimisha kutengeneza Post! Hata hivyo asante.
 
Mkuu Mshana hawa viongozi kama akina Jakaya ,huwa hawawazi negative wana nawaza postive ,saiv anawaza hiyo chance ya kuwa peke yake ataendeleza vipi atakao wa acha.Bila shaka akiwaza waliokuwa marafiki zake wametangulia haitamsaidia kwa chochote.
Ila hayo mawazo hayakwepeki Hamunde yako so automatic na hayaji muda Wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…