Pole Mnyika, Ubungo inaenda kwa Masaburi!

Pole Mnyika, Ubungo inaenda kwa Masaburi!

Naona Ukawa wako kwenye mihemuko na kusherehekea mabilioni waliyohongwa huku wakisahau kuwa jimbo la Ubungo limeshapata muarubaini wa maendeleo ndugu Didas Masaburi.

Mnyika atatakiwa kukabidhi jimbo kwa Masaburi.

Mnyika atakuwa ametambua nani ni dhaifu kati ya JK na Mbowe!


Hivi huyu ndiye yule aliyetuuzia ARV fake?! Kama ndiye halafu Watanzania wakampigia kura, basi itabidi wakapimwe ubongo wao.
 
Naona Ukawa wako kwenye mihemuko na kusherehekea mabilioni waliyohongwa huku wakisahau kuwa jimbo la Ubungo limeshapata muarubaini wa maendeleo ndugu Didas Masaburi.

Mnyika atatakiwa kukabidhi jimbo kwa Masaburi.

Mnyika atakuwa ametambua nani ni dhaifu kati ya JK na Mbowe![/QUOTE masaburi makalio.au yupi?
 
Mimi ni msukuma nipo Ubungo, ila kura yangu ni kwa CHADEMA maana najitambua[/Qsafi sana kamanda. huyoamasaburianamkashanaskashfahfaaufisadimamkubwaanufisadimradiamradujenziistestendiasimoanii dsm,mabasimmabasubungoistendubungo imevunja halafu bado wanaitumia, watu wanatozwa fedha wakati hakuna huduma muhimu mf toilets. huyu matako makubwa ka dem hafai kabisa
 
Lijitu lenyewe mnalobisha nalo linajiita jinga .
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyu ndiye yule aliyetuuzia ARV fake?! Kama ndiye halafu Watanzania wakampigia kura, basi itabidi wakapimwe ubongo wao.

Arv feki ni madabida
 
Kama ni kuzidi kufanya makosa ndo kwanza ccm wanazidi kufanya ( sikio lakufa) masaburi na kubenea wapi na wapi. Hongera ccm kwa kukabidhi nchi kimyakimya hii ndio demokrasia kiaina
 
11998966_1490524751269047_8340804063743796058_n.jpg
 
Huyu deep down anajijua hamwezi Kubenea
 
Halafu eti anajifanya ana uchungu sana na vijana, kumbe bado kidogo tu awaulishe wale vijana wadogo pale morocco. RIP Masaburi
 
Masaburi umesahau ule msemo unaosema kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza?

Hivi hayo mamilioni na mamilioni ya shilingi unayoyatumia kwa kujitangaza, kwa kufadhiri vikundi vya vijana kufanya vurugu wakijifanya wanamuunga mkono Dr mla mihogo, hivi kama kweli ungekuwa na moyo wa dhati wa kuwapenda wana Ubungo na kuyatumia mabilioni hayo unayoyasakia ubunge kwa udi na uvumba, na badala yake ukayatumia mabilioni hayo kutoa msaada wa kuboresha huduma za Afya na Elimu mkoa wa Kinondoni siyo tu wananchi wa Ubungo wangekuthamini na kukupa kura zao nyingi sana, bali pia ungepata baraka nyingi sana kutoka kwa Mwenyezi Mungu kutokana na wema huo.

Lakini kwa kuendelea kuteketeza hayo mabilioni uliyoyachuma kwa njia za kifisadi, hakika ubunge wa jimbo la Ubunge utaishia kuusikia kwenye bomba, kwa kuwa wananchi wa Ubungo wameamua kumpa ubunge wa jimbo hilo mzalendo halisi wa nchi hii Saed Kubenea.
 
Halafu eti anajifanya ana uchungu sana na vijana, kumbe bado kidogo tu awaulishe wale vijana wadogo pale morocco. RIP Masaburi
Yaani huyu jamaa ni hatari sana, almanusra asababishe hao vijana wapoteze maisha yao pale maeneo ya Kinondoni, kutokana na kuwavalisha sare za Chadema na kuwagawia elfu kumi kumi.
 
Mgombea wa chadema ana uwezo mkubwa kiakili na upeo waawazo.
 
Hata kwa miujiza, kamwe Masaburi hawezi kushinda jimbo la Ubungo. Mwaka huu CHADEMA
watashinda kirahisi sana pale Ubunge. Ubungo na Kibamba hata bila CHADEMA kufanya kampeni ni wazi watashinda tena kupata madiwani wengi sana.
 
Tumuulize kwanza alipokuwa meya wa jiji alifanya nini,nikwanini asigombee kwake anakoishi chanika,gari la zimamoto alilopewa ujerumani akiwa meya wa jiji la Dar,lipo wapi,ahadi ya ujenzi wa stand ya mabasi ya mikoani kilichomshinda ninini,shirika la uda liliuzwa kwa bie ya kununua mbuzi vingunguti yeye akiwa meya nikwanini, nk
 
"Naahidi NITAWEKA Millioni 10 kwenye SACCOS...."

Mh Masaburi anajua kuna SACCOSS ngapi Ubungo?

Atazitoa wapi hizo fedha? Kwenye Ilani ya Chama haipo, halmashauri inaweza isiwe na fedha hizo kupeleka kwenye SACCOS, atafanyahe kama si hadaa??

Lakini je amefanya ka analysis/research ka kuona sustainability ya kutoa cash kubwa hivyo kwa VICOBA??

Kama mbunge mtarajiwa angezungumzia kupigania kuweka mazingira wezeshi na rafiki ya wao kukopa taasisi za kifedha bila riba kubwa wala usumbufu na utitiri wa collateral kubwa wasizomudu....

Lakini kusema atatoa hizo Mill 10 kwa vikundi hivyo wakati hakusanyi kodi za kutuhakikishia uwepo wake, hizo ni fix tupu
 
Back
Top Bottom