"Pole mama"

duuh aisee mimi huwa nalia kabisa machozi nikiona mwanangu anachomwa sindano, huu ni uonevu,hii sekta ya afya iangalie namna nyingine ya kuwachanja au kuwatibi watoto

Hahaha pole na wewe Mtende
 
Last edited by a moderator:
mkuu utafiti, inalnesha kama huyu mama angeumwa yeye asingekubali kupigwa shindano

Sipendi hata kuiona hivi huyu aliyeianzisha sijui aliwaza nini? kwa kweli kuikimbia wala sio kazi labda niwe mahututi
 
Last edited by a moderator:
dah mie nakumbuka zile sindano za kuchoma mtoto akiwa na mwezi......eeh nilikuwa namwachia mama amshike mwanangu....na mie natoka kabisa na naziba masikio sitaki kusikia akilia......nilikuwa naumia sana nikisikia mtoto analia....tumbo lote linauma.....
 
siku ukitaka kuchoma sindano ni pm mimi ni daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake

wewe ni daktari bingwa mwenye maradhi ya wanawake si bingwa wa magonjwa ya wanawake nitaku pm vp mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…