Yaan kikitokea kifo waswahili lazima tutafuta mchawi nan
Hakika bila shaka jack na mzee mengi walikuwa na mapenzi ya dhati walipendana kiukweli hawez kufanya upuuz huo wanaoufikiria hususan kwa baba wa watoto zake kama angefanya hivyo hiyo dhamb ingemsuta maisha yake yote.angeiweka wap sura yake anapokuwa na watoto zake.Acheni uzushi
Binafs bado nilikuwa nayaona mapenzi ya dhati ya jack kwa mzee mengi hata kama angefilisika naamin angeendele kumpenda kwa dhati
Binadamu tusipende kuzua mambo tusiokuwa na hakika nayo. Fitina ni jambo baya sana haswa katika mahusiano ya watu.watu weng walikuwa wanamuonea husda jack kupendwa na mengi na baada ya kutokea hiki kifo wanataka kuzidhihirisha kwa waz husda zao zilizokuwa zimejificha
Justice will prevail
Be strongView attachment 1088944
Nimesoma kwa accent ya kwetu machame.Watusi mnaangaika sana.
"Watoto zake" ni moja ya kiashiria kwamba mtoa mada ni Myarwanda.
Naona anatetea Mtusi mwenzake.
Wachagga Siku zote Tupo macho.
Hatuwezi kuacha jambo lipite hivihivi wakati kuna mazingira na kelele za ajabu.
Chagga ni Taifa, ni damu, ni jamii imara.
Semeni sana, ila ukweli utajulikana tu.
ni kweli watu waliozua haya mambo hawana tofaut na wachawi wakiongozwa na yule taahira mwenzao kimaviNilichojifunza watanzania wengi tuna roho mbaya sana. Tuna roho ya kwanini, tuna wivu.
Ukiona mtu anapata maendeleo hatupendi. Naelewa sasa ndo maana nchi yetu ni miongoni mwa nchi zenye watu wake wenye huzuni zaidi duniani. Kifo ni kifo tu ila basi tumuombee Kwa Mungu Roho yake ipumzike kwa amani.
Fvck you cockroachUjue nini chizi akikuibia nguo zako cha kufanya ni kutafuta namna ya kujisitiri maana kumkimbiza ni yule aliye uchi kuonekana chizi
Kila jamii inao watu wabaya na wazuri,, tujifunze kumshutumu mtu binafsi sio jamii anayotokeaWatusi shikamooo,bora niwe na mchaga kulko hao watu ninawajua vizuz kulko wanavyojijua
Wengine Kwa chuki zao binafsi akiwemo na dudu baya wanalishutumu kabila la wahaya wakati hata huyo ntuyabaliwe Hana hata chembe ya uhaya.
Mwingine eti wahaya wasiolewe kisa jack . anyway aliumbuka baada ya kukuta ooh kumbe sio muhaya.
Acha kutoa zawad kwa ushabiki huo nani alikuambia sisi kwa sisi tunabagua,mbona mataifa mngn ubaguz upo sana hasa nchi za uarabu,katka swala la ubaguzi sisi wa africa tunaweza kuwa wa mwsho....We jamaa hebu nitafute nikupe zawadi. Umeongea fact. Tuna laana waafrika.
2005Asante
Na Nancy Sumari mwaka gani ?
Sasa kama wanaua, kwanini hawachukuliwi hatua za kisheria?
Serikali haioni?
Acheni uzushi.
Huyu Malaya wa ki2si lazima anyooshwe nyoko ninyi
kama wanawake wa kichaga wana tabia ya kuua wanaume pindi maisha ya waume wao yakiwanyookea, inakuwaje bado wanaume wanawaoa wanawake wa kichaga? kwanini makabila mengine wasiwaache ma-binti wa kichaga waolewe na wachaga wenzao ili wauwane wenyewe kwa wenyewe au wabaki tu wakiangaika? washauri watoto wako, jamaa zako, kabila lako na ikiwezekana watanzania wote wakae mbali na mabinti wa kichaga kuwa hawafai kuolewa maana watauwawa wapato mali!Ukiwa na akili kubwa raha sana, nadhani umeona makusudi yangu yalivyofanya wanaume wenzenu kumwaga radhi hadharani!!!
Katika watu wasiopenda kujadili madhaifu ya kikabila mi ni mojawapo,,, nimejaribu tu kidogo kusema baya moja tu la wanawake wa kichaga maana tangu mzee afariki imekuwa ni matusi na dhihaka kwa makabila flani flani
kama wanawake wa kichaga wana tabia ya kuua wanaume pindi maisha ya waume wao yakiwanyookea, inakuwaje bado wanaume wanawaoa wanawake wa kichaga? kwanini makabila mengine wasiwaache ma-binti wa kichaga waolewe na wachaga wenzao ili wauwane wenyewe kwa wenyewe au wabaki tu wakiangaika? washauri watoto wako, jamaa zako, kabila lako na ikiwezekana watanzania wote wakae mbali na mabinti wa kichaga kuwa hawafai kuolewa maana watauwawa wapato mali!
Yaan watu wangekuwa na huruma kwakweli, kwa jinsi nilivyomuona jack anahitaji huruma na sio maneno maneno.Na kama sio kweli utasema nn, kuweni waelewa, mnafata ya mange kimambi kama alikuwepo tumieni akili
Basi ndo wote tukae kimya tuache uchunguzi upite hilo litakuwa jambo la busara.Mimi nilidhani tayari report imetoka na kuonyesha hakuna chochote kilichotendeka dhidi ya mzee. Kumbe hata wewe unadhani tu!!. Binadamu ni MTU mwenye siri mno moyoni uwezi kumtambua kwa kumtazama.