T TEGEMEA JF-Expert Member Jan 25, 2011 369 56 Feb 20, 2011 #41 Pokola said: maji yamewafika (sisiem) shingoni Click to expand... Afadhali ya shingoni kwa sasa(sisiemu)maji yapo puani.!!!
Pokola said: maji yamewafika (sisiem) shingoni Click to expand... Afadhali ya shingoni kwa sasa(sisiemu)maji yapo puani.!!!
jmushi1 Platinum Member Nov 2, 2007 24,990 22,523 Feb 21, 2011 #42 genekai said: Mama, achana na kubishana na mwehu atakutia hasira bure! Click to expand... Unaniita mwehu for what reason?Mimi hata sijui gender yake,wengine mnafahamiana humu lakini msisahau kuwa this is a public forum na mwenye kutofautiana kimawazo si mwehu....Si wewe unasema upo Nairobi unasoma?Ndio usomi kujibu hoja kihivi?
genekai said: Mama, achana na kubishana na mwehu atakutia hasira bure! Click to expand... Unaniita mwehu for what reason?Mimi hata sijui gender yake,wengine mnafahamiana humu lakini msisahau kuwa this is a public forum na mwenye kutofautiana kimawazo si mwehu....Si wewe unasema upo Nairobi unasoma?Ndio usomi kujibu hoja kihivi?